Karibu kila halmashauri zimeshatoa orodha ya majina ya watu watakao shiriki zoezi la kuhesabu watu lakini cha kushangaza wilaya ya Iramba mkoani Singida .hawajatoa majina mpaka sasa hivi kunanini hasa?? Wadau mtujuze
Karibu kila halmashauri
zimeshatoa orodha ya majina ya watu watakao shiriki zoezi la kuhesabu
watu lakini cha kushangaza wilaya ya Iramba mkoani Singida .hawajatoa
majina mpaka sasa hivi kunanini hasa?? Wadau mtujuze