Sensa ya makahaba

Sensa ya makahaba

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Chifu alitaka kujua idadi ya makahaba kwenye kijiji chake.
Makahaba walipokuwa kwenye foleni bibi 1 akapita akamuona mjukuu wake yumo katika foleni,
bibi akauliza..hapa kuna nini?
Mjukuu akamjibu"chifu anagawa maembe"
bibi nae akaunga foleni,
chifu katika kupita kwenye foleni akamuona bibi,akamuuliza"na wewe bibi upo humu?"
bibi akajibu "tena mimi ni stadi wa kunyonya na kulamba mpaka kokwa"
 
"tena mimi ni stadi wa kunyonya na kulamba mpaka kokwa"

:mwaaah:Hapa ndo mi pameniacha hoi mbavu zangu....
Daaah bibi huyu anamnyonyaDICK na MPIRA(balls) yake...
Umetisha hapo...
 
ukihitaaji kuwa chizi mbele za watu kwa kujikuta unaangua kicheko bila wao kujua, soma thread za jf, Ndugu unaweza kusababisha heshima ikashuka ukweni
 
Huyu bibi..!sina la kusema yan ananyonya mpaka kokwa
 
"tena mimi ni stadi wa kunyonya na kulamba mpaka kokwa"

:mwaaah:hapa ndo mi pameniacha hoi mbavu zangu....
Daaah bibi huyu anamnyonyadick na mpira(balls) yake...
Umetisha hapo...

hapo hata mimi chichemi
 
Chifu alitaka kujua idadi ya makahaba kwenye kijiji chake.
Makahaba walipokuwa kwenye foleni bibi 1 akapita akamuona mjukuu wake yumo katika foleni,
bibi akauliza..hapa kuna nini?
Mjukuu akamjibu"chifu anagawa maembe"
bibi nae akaunga foleni,
chifu katika kupita kwenye foleni akamuona bibi,akamuuliza"na wewe bibi upo humu?"
bibi akajibu "tena mimi ni stadi wa kunyonya na kulamba mpaka kokwa"

wait network search .....
 
Back
Top Bottom