Bibi kutaka kuonyesha alivyo mtaalamu wa kula embe ndo kaharibu. Asante, nimecheka sana.
Bibi kutaka kuonyesha alivyo mtaalamu wa kula embe ndo kaharibu. Asante, nimecheka sana.
"tena mimi ni stadi wa kunyonya na kulamba mpaka kokwa"
:mwaaah:hapa ndo mi pameniacha hoi mbavu zangu....
Daaah bibi huyu anamnyonyadick na mpira(balls) yake...
Umetisha hapo...
Chifu alitaka kujua idadi ya makahaba kwenye kijiji chake.
Makahaba walipokuwa kwenye foleni bibi 1 akapita akamuona mjukuu wake yumo katika foleni,
bibi akauliza..hapa kuna nini?
Mjukuu akamjibu"chifu anagawa maembe"
bibi nae akaunga foleni,
chifu katika kupita kwenye foleni akamuona bibi,akamuuliza"na wewe bibi upo humu?"
bibi akajibu "tena mimi ni stadi wa kunyonya na kulamba mpaka kokwa"