Sensa ya Mwaka 1967

LGF

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2020
Posts
1,407
Reaction score
790
Makabila makubwa
1. Wasukuma
2. Wamakonde
3. Wachagga
4. Wahaya
5. Wanyamwezi

Dini kubwa:
1. Wapagani ("local beliefs")
2. Wakristo
3. Waislamu
 
Swali zuri. Nimeangalia tena kitabu cha sensa hawana data ya mbinguni na peponi. Endelea kuuliza netini
 
Hiyo sensa upande wa dini ilikataliwa huko duniani,maana ya mkoloni ilionesha waislam ni 60%+,walipopeleka hiyo ya tanganyika huru mwaka 67 wakaulizwa waislam wanekumbwa na janga gani lililowapunguza kiasi hicho!!?...ndiyo ukawa mwisho wa kuweka kipengele cha dini kwenye sensa
 

Kuna wakorofi fulani hawachelewagi kuchomekea mambo yao kwenye uhalisia

Ila kizuri hata marais wa kikristo wanasemaga wao ni marais wa wote wakiwemo waislamu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…