A Amoney New Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Aug 6, 2012 #1 Hivi jamani inaingia akilini kweli pale ambapo viongozi wa serikali wanaposhindwa kuwaeleza wananchi umuhimu wa sensa na kuishia kuwapiga mkwara kuwa watakwenda jela miezi sita au faini lakini sita,je huku ni kuonyesha uwezo mdogo wa viongozi wetu?
Hivi jamani inaingia akilini kweli pale ambapo viongozi wa serikali wanaposhindwa kuwaeleza wananchi umuhimu wa sensa na kuishia kuwapiga mkwara kuwa watakwenda jela miezi sita au faini lakini sita,je huku ni kuonyesha uwezo mdogo wa viongozi wetu?
M Makareti Member Joined Jul 6, 2012 Posts 13 Reaction score 1 Aug 6, 2012 #2 si ndio elimu sasa hiyo ya kwenda jela.afu si unajua baadhi ya watu wana vichwa vigumu.