'Sensational' Morrocan keeper did it again..LOLZ

'Sensational' Morrocan keeper did it again..LOLZ

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Huyu ametoboa tena..kwa wale mliobahatika kuangalia clip ya Youtube takriban majuma 2 yaliyopita , huyu kipa alianza kushangilia kuokoa penati mapema, bila kujua mpira unajaa kimiani taratibu wakati yeye yuko bize akishangilia.

Kumbukumbu ile wakati haijesha vichwani mwetu, clip nyingine imekuja. Huyu bwana baada ya kufungwa kizembe akaamua kuzira na kutoka uwanjani.

http://www.youtube.com/watch?v=Yidb1MiKbyI&feature=player_embedded
 
'Hadi mwandishi wetu anaondoka uwanjani hapo haikuweza kujulikana nini kilijiri baada ya huyu nyanda al maaruf al watan al ustaadh al mzushi, Khaled bin Askri kuvua koti lake la ulinzi wa pale golini na kukimbia lindo'...

Kaaz kwelikweli..
 
utakuta huyo ni GK wao #1...no wonder!
 
Back
Top Bottom