Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Sep 27, 2010 #1 Huyu ametoboa tena..kwa wale mliobahatika kuangalia clip ya Youtube takriban majuma 2 yaliyopita , huyu kipa alianza kushangilia kuokoa penati mapema, bila kujua mpira unajaa kimiani taratibu wakati yeye yuko bize akishangilia. Kumbukumbu ile wakati haijesha vichwani mwetu, clip nyingine imekuja. Huyu bwana baada ya kufungwa kizembe akaamua kuzira na kutoka uwanjani. http://www.youtube.com/watch?v=Yidb1MiKbyI&feature=player_embedded
Huyu ametoboa tena..kwa wale mliobahatika kuangalia clip ya Youtube takriban majuma 2 yaliyopita , huyu kipa alianza kushangilia kuokoa penati mapema, bila kujua mpira unajaa kimiani taratibu wakati yeye yuko bize akishangilia. Kumbukumbu ile wakati haijesha vichwani mwetu, clip nyingine imekuja. Huyu bwana baada ya kufungwa kizembe akaamua kuzira na kutoka uwanjani. http://www.youtube.com/watch?v=Yidb1MiKbyI&feature=player_embedded
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Sep 27, 2010 Thread starter #2 'Hadi mwandishi wetu anaondoka uwanjani hapo haikuweza kujulikana nini kilijiri baada ya huyu nyanda al maaruf al watan al ustaadh al mzushi, Khaled bin Askri kuvua koti lake la ulinzi wa pale golini na kukimbia lindo'... Kaaz kwelikweli..
'Hadi mwandishi wetu anaondoka uwanjani hapo haikuweza kujulikana nini kilijiri baada ya huyu nyanda al maaruf al watan al ustaadh al mzushi, Khaled bin Askri kuvua koti lake la ulinzi wa pale golini na kukimbia lindo'... Kaaz kwelikweli..
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 83 Sep 27, 2010 #3 utakuta huyo ni GK wao #1...no wonder!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Sep 27, 2010 Thread starter #4 CBZ said: utakuta huyo ni GK wao #1...no wonder! Click to expand... Huyu anamfanya kipa wa Arsenal aonekane Dino Zoff. Bwe he he he
CBZ said: utakuta huyo ni GK wao #1...no wonder! Click to expand... Huyu anamfanya kipa wa Arsenal aonekane Dino Zoff. Bwe he he he
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 83 Sep 27, 2010 #5 Abdulhalim said: Huyu anamfanya kipa wa Arsenal aonekane Dino Zoff. Bwe he he he Click to expand... Oh, I see...
Abdulhalim said: Huyu anamfanya kipa wa Arsenal aonekane Dino Zoff. Bwe he he he Click to expand... Oh, I see...