Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
HIZI NI SENTENSI 4 ALIZOZISEMA MENEJA WA DIAMOND KUHUSU DIAMOND KUZOMEWA KWENYE FIESTA..

1.sisi tumechukulia sehemu ya mashindano,uzuri sisi tuliambiwa na uongozi wa Clouds kabla ya Diamond hajapanda ilikua saa 3 kamili tukaitwa tukaambiwa kuna watu wamejiandaa kumzomea Diamond.

2.Kama uongozi tulikaa na msanii wetu na kumjenga kisaikolojia na kumwambia kuna hivi vinatokea wao walitaka aanze Davido kisha afate Diamond kupunguza watu watakaozomea tukasema hapana pangeni show yenu kama ilivyokuwa ni sehemu ya mashabiki kufurahi.

3.Hatujaathirika kwamba msanii wetu ameshuka tunapoona watu wanapiga kelele kwa ajili yako au huna sifa ile unatakiwa uangalie umekosea wapi unaenda wapi,hatuna makosa kwa mashabiki wetu.

4.Kikubwa Diamond anafanya vizuri tunatakiwa kuhamisha macho yetu tumpigie kura Diamond kwenye tuzo za Channel O Music Awards, kwa sababu mwisho wa siku chema chajiuza kibaya chajitembeza

MY OPINIONS..
Ukisoma sentensi ya kwanza utagundua kumbe kulikua na mashindano ambayo sisi hatukuyajua,na meneja wa diamond kakubali kushndwa..

MY TAKE..
Nimesikitishwa na maneno ya management ya diamond kusema eti hao watu waliandaliwa,how on earth.!!!ina maana alikiba aliuziwa tiket zote kwa jumla ili watu waingie wamzomee chibu.!!acheni hzo,angezomewa ali ndo ingekuwa halali,.??

nadhan mmepungukiwa uelewa tu,kila msanii ana mashabiki wake,inawezekana kwenye fiesta mashabik weng walikuwa wa alikiba..au walimshangilia sana kwasabab walimmis sana kwenye jukwaa la fiesta tofaut na diamond ambaye kila mwaka yupo..

CHA MSING #TEAM_DIAMOND MUANGALIE NI WAPI MLITEREZA SIKU ILE NA KUJIPANGA UPYA KULIKO HII STYLE YA KUTAKA KULAZIMISHA MASHABIKI WAMSHABIKIE DIAMOND NA WASIPOFANYA HIVYO ETI WANA WIVU NA MAFANIKIO YAKE,pathetic.!!!kwanin wasimzomee MBWANA SAMATA.???au kwa ujinga wenu mnadhani diamond ni kijana pekee maarufu mwenye MAFANIKIO hapa TZ.!!

Kwanini mashabiki hawamzomei Jide JAY DEE,mbona yeye ana mafanikio kuliko DIAMOND.?

Au mafanikio ni kuwachakaza bongo movies.?

Mwisho,watu hawapendezwi na tabia za diamond pamoja na majivuno yake,hata JUSTIN BEIBER kule malekani kwa sasa mashabiki wanamchukia sana kwasababu hyo,inabd abadrike..

Mfano mimi binafsi namchukia kwasababu alisema mkoani kwetu hakuna hoteli yenye hadhi ya kufikia yeye,wakat hata KOFI ANAN alikujaga mbeya na kulala kwenye hotel mojawapo hapa..sasa yeye na ANAN nan yupo juu..

DIAMOND PLATNUMZ=JUSTIN BEIBER..
 
Imewagusa sana ile kitu ya jana na pia Clouds sio wapuuzi kusema kuwa kuna watu wamejipanga zomea zomea
 
Na wao baada ya kujua si wangetafta wazomeaji Mkuu wa nchi alizomewa ndo yeye akubali mambo anayofanya watu hawaya mind tu yeye akizomewa nogwa mara kisingizio kile mara anaonewa wivu mda bado anao wa kubadilika
 
hv kuzomewa kwa daimond ni ishu sana eeeh?!!
hao viongozi nao zero tu
kwani ye nani labda?!&
wamezomewa wangapi east coast walikua wanapigwa chupa stejini
mbona ni normal
mi nakataa kusema walijua wanazomewa
poleni sana prodiamond
ila muwe nanyi mnaenda tamashani mkashangalie mmelala makwenu mnategemea washabiki wa mtu mwingine
poleni maana ni sawa na kwenda stendi bila nauli kujifanya nzi utasafiri bure
 
1.sisi tumechukulia sehemu ya mashindano,uzuri sisi tuliambiwa na uongozi wa Clouds kabla ya Diamond hajapanda ilikua saa 3 kamili tukaitwa tukaambiwa kuna watu wamejiandaa kumzomea Diamond.
Nimesikitishwa na maneno ya management ya diamond kusema eti hao watu waliandaliwa,how on earth.!!!ina maana alikiba aliuziwa tiket zote kwa jumla ili watu waingie wamzomee chibu.!!acheni hzo,angezomewa ali ndo ingekuwa halali,.??
Mkiambiwa kwamba mnapotosha huwa mnakataa... angalia sasa, unapotosha mchana kweupeee!! Wewe huyo huyo unasema uongozi wa Diamond unadai uliambiwa na Clouds lakini badala yake unaulaumu uongozi wa Diamond! Kwanini usihoji kwanza uhalali ama ukweli wa kauli hiyo badala ya kukimbilia kuulamu uongozi wa Diamond? Sasa kama uongozi wa Clouds waliuambia uongozi wa Diamond, how come tena unaulaumu uongozi wa Diamond wakati wao waliambiwa tu?

But all in all, angalia ulichomnukuu kiongozi wa Diamond: tukaambiwa kuna watu wamejiandaa kumzomea Diamond lakini badala yake wewe unabadilisha maneno na kusema: eti hao watu waliandaliwa! Ni nani aliyesema wameandaliwa wakati wao wamesema wamejiandaa? Hivi huoni hizo ni maana mbili tofauti? Hivi huoni mtu anaposema wamejiandaa ni suala binafsi... kwamba wao hawakumshika uchawi yeyote?

Tuje kwenye hoja... je, ni kweli Clouds waliwaambia uongozi wa Diamond au hawakuwaambia? Wala hapahitaji degree kufahamu ni kuna uwezekano ni kweli waliwaambia! Mosi, hata Diamond alivyofanya ile show yake, kwa makusudi wakamchanganya na watu wengine kv Chege na Nay wa Mitego! Katika session ya Diamond, wakaimba nyimbo za Chege na Nay... kama kweli watu walijipanga, wakakosa nafasi coz' isingejulikana wanamzomea nani! Baada ya kuimba nyimbo za Chege na Nay, ndipo ghafla akaiunganishia Mdogo mdogo hapo hapo! Akarudi back stage akaja kujichomeka tena kwenye session ya Davido na kuimba Number One ambayo aliianza Davido wakati nyimbo ni ya Diamond! Kwahiyo kuna kila dalili kwamba watu walifahamu nini kilikuwa kinaendelea na hili halishangazi coz' hata hao wazomeaji walianza kuzomea wakati hata Diamond mwenyewe hajafika jukwaani!
 
Good analysis
 
Hebu tuweke chuki binafsi pembeni tuwe wa kweli japo kidogo tu........ni kipi hasa kinachogombewa?....kwa nn domo achukiwe hivi? Ni kweli kwamba ali kiba anaimba kuliko dai? Ni kweli hawa jamaa wanaconflict au ni sisi mashabiki ndo tunashida??

Hizo ni fitna za kiumaarufu. Ukitaka kumpaisha mtu ni Lazima utumie mtu ambaye ndio star kwa wakati huo. Hivyo hii ni mbinu ya kundi linalotaka Ally Kiba arudi ktk chart, sasa wameona sokoni kuna mtu anayetamba. Njia Pekee ni Kutumia njia ya dharula kama hizi.
Cha kufanya ni team Diamond Lazima wajue hii this is part and parcel of the game kama Management yake ilivyosema.
 
Mkiambiwa kwamba mnapotosha huwa mnakataa... angalia sasa, unapotosha mchana kweupeee!! Wewe huyo huyo unasema uongozi wa Diamond unadai uliambiwa na Clouds lakini badala yake unaulaumu uongozi wa Diamond! Kwanini usihoji kwanza uhalali ama ukweli wa kauli hiyo badala ya kukimbilia kuulamu uongozi wa Diamond? Sasa kama uongozi wa Clouds waliuambia uongozi wa Diamond, how come tena unaulaumu uongozi wa Diamond wakati wao waliambiwa tu?

But all in all, angalia ulichomnukuu kiongozi wa Diamond: tukaambiwa kuna watu wamejiandaa kumzomea Diamond lakini badala yake wewe unabadilisha maneno na kusema: eti hao watu waliandaliwa! Ni nani aliyesema wameandaliwa wakati wao wamesema wamejiandaa? Hivi huoni hizo ni maana mbili tofauti? Hivi huoni mtu anaposema wamejiandaa ni suala binafsi... kwamba wao hawakumshika uchawi yeyote?

Tuje kwenye hoja... je, ni kweli Clouds waliwaambia uongozi wa Diamond au hawakuwaambia? Wala hapahitaji degree kufahamu ni kuna uwezekano ni kweli waliwaambia! Mosi, hata Diamond alivyofanya ile show yake, kwa makusudi wakamchanganya na watu wengine kv Chege na Nay wa Mitego! Katika session ya Diamond, wakaimba nyimbo za Chege na Nay... kama kweli watu walijipanga, wakakosa nafasi coz' isingejulikana wanamzomea nani! Baada ya kuimba nyimbo za Chege na Nay, ndipo ghafla akaiunganishia Mdogo mdogo hapo hapo! Akarudi back stage akaja kujichomeka tena kwenye session ya Davido na kuimba Number One ambayo aliianza Davido wakati nyimbo ni ya Diamond! Kwahiyo kuna kila dalili kwamba watu walifahamu nini kilikuwa kinaendelea na hili halishangazi coz' hata hao wazomeaji walianza kuzomea wakati hata Diamond mwenyewe hajafika jukwaani!

acha kutuaminisha ujinga ww, et walijiandaa ili wamzomee, kwa hiyo walokua wamejiandaa wakaenda kuupa taarifa uongoz wa cloudz kuwa leo tutamzomea diamond?? Even a standard 3 boy can't accept ur argument coz it doesn't make sense. Heb jarb kujipanga halaf uandike kama m2 mwenye akil timamu, umati wa watu wale wote wa organise kumuzomea dangote, kikao hcho waliitisha wap? Na nan alikichair? Jipange
 
Back
Top Bottom