Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

Watanzania wanafki sana, ukiishi kwa kuwategemea utaishia kuwa maarufu kwa skendo.
 
We una wazimu wala si bure... kwani aliyesema hivyo ni mimi au mleta mada?
 
Yaani mista naisi huko aliko ni furaha tupu kwa sababu ameshapata company ya kutosha.
Na hiyo nyumba ambayo hakumalizia wakati alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo ndio basi tena.
Sasa hivi ndomo tutakuwa tunakutana sana kwenye mabanda ya chibuku na mimi sina noma, kama akitaka buyu moja la 700 nitakuwa tayari kumsaidia.
 
Hebu tuweke chuki binafsi pembeni tuwe wa kweli japo kidogo tu........ni kipi hasa kinachogombewa?....kwa nn domo achukiwe hivi? Ni kweli kwamba ali kiba anaimba kuliko dai? Ni kweli hawa jamaa wanaconflict au ni sisi mashabiki ndo tunashida??

Mkuu Transporter iko hivi..

Kama ambavyo mashabiki wa simba wanafurahia wakiifunga yanga,basi sahv ndio mashabiki wa alikiba tunavofurahia alibomfunika diamond kwenye show..

Sasa tatzo kuna baadhi ya wajinga kama NasDaz na matumbo wao hawaamini kama alikiba ana uwezo wa kumfunika diamond kwenye show akijipanga kama alivofanya juzi..

Wao wanadai hizo ni ftna,eti waTZ wanataka wamshushe,how.!!
Diamond n mkali na ataendlea kuwa hivo kama akiendlea kutoa nyimbo nzur,lakin inawezekana waTZ weng wanadhani bado hajafikia uwezo wa Alikiba so wakishndanishwa ndo inatokea kitu kama ile ya juzi..

Kumbuka kabla ya ile show watu weng waliweka kama ni ushndan kat ya kiba na diamon,hvo mashabiki wakaonesha wanupenda upane gani zaid..
 
Last edited by a moderator:
We una wazimu wala si bure... kwani aliyesema hivyo ni mimi au mleta mada?

NasDaz mi mpaka sahv sielewi umepagawa nini mimi ninafurahia alikiba kumfunika diamond kwenye show..
Je ni kosa.?

Wewe unabishana eti waTZ wanachuki na diamond kisa ana mafanikio,nkakuuliza kwanini wasimchukie MBWANA SAMATA,JAY DEE,HASHIM THABEET.???

HUTOI MAJIBU YA KUELEWEKA ZAIDI YA KULALAMA BILA MSINGI WOWOTE.!!!!!

Tatzo nini.???
 
Last edited by a moderator:

Somjijuma kazini leo ngoja nile goodtime kusoma comments tu maana leo najua upo kumlinda our kiba
 
Last edited by a moderator:
Aibu mtu mzima kuzomewa kama toto lililojikojolea, kama mimi ndo ndomo sihudhurii tena fiesta zao, hatumtak ndomo, kiba ndo habar ya mujini

Hhhhaaaaaa bina bana najua umefurahiii kwelii, asihudhurie kabisaaaa hizo fiesta,nimekubari kua domo ni habari ya mjinii
 
Mi mwenzenu nashangaa kwani shida iko wapi....kwani kuzomewa ndo iwe ishu hivi?
Ni kwamba hajawahi kufikiria km ipo cku na yy anaweza zomewa stejini?kwamba yy ni wa kushangiliwa tu?....huu ni ujinga jamani yaani imekuwa issue....haya mambo yapo mbona wala haina haja ya malumbano zaid ya kujipanga upya
 
niko nabeba mabox huku sijui msanii mwingine zaidi Diamond na Lady Jay dee..

kwa hiyo hata wasanii wa Vigodoro hapo ulipo huwawajui dah dah kweli we ni kiboko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…