Sentensi hii

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
343
Reaction score
304
Wakuu Nikitaka kuuliza hivi kwa kimombo nitasemaje? Hii ni lugha yako ya ngapi? natanguliza shukrani
 
Wakuu Nikitaka kuuliza hivi kwa kimombo nitasemaje? Hii ni lugha yako ya ngapi? natanguliza shukrani

kimombo kuna 'hii ni lugha yako ya kwanza?' au 'lugha yako ya kwanza ni nini?'

is this your first language?
what is your first language?
 
kimombo kuna 'hii ni lugha yako ya kwanza?' au 'lugha yako ya kwanza ni nini?'

is this your first language?
what is your first language?

Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…