Sentensi inayotumia letters zote za Kiingereza

Sentensi inayotumia letters zote za Kiingereza

Wa 2liopita Marangu sec nadhan kupitia sentence hii 2tamkumbuka Mr Kisuma.
 
Mkuu Boflo nadhani ulikuwa unaijua hii. Sentensi inayosomeka hivyo hivyo kuazia kushoto kwenda kulia AU kuanzia kulia kwenda kushoto. Nadhani ilisemwa na Napoleon:

ABLE WAS I ERE I SAW ELBA


  • ERE is old English meaning BEFORE
  • ELBA is a Mediterranean island in Tuscany, Italy (used as prison)
 
Yaani. Abcdef............yz

The quick brown fox jumps over the lazy dog

Jamani kuuliza si ujinga kama si ushamba, kama letters za kiingereza ni hizo zilitotengeneza hiyo sentensi je za kiswahili ni zipi? msaada tafadhali inaweza ikatoka hii kwenye mtihani wa national halafu ntakuwa nimepata past paper kiulaiiini. Boflo nieleweshe tafadhali in a serious note.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna sentesi ya kiswahili yenye herufi zote?
 
@boflo ziko nyingi bana!

Bright vixens jump; dozy fowl quack.
Quick wafting zephyrs vex bold Jim.
Quick zephyrs blow, vexing daft Jim.
Sphinx of black quartz, judge my vow.
Bawds jog, flick quartz, vex nymphs.
Waltz, bad nymph, for quick jigs vex.
Brick quiz whangs jumpy veldt fox.
 
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 20th January 2010
Posts : 3,670
Rep Power : 5343
Likes Received3478
Likes Given3485

Nimependa avatar yako, ungekuwa hujaolewa wallah ningeleta posa
[h=2][/h]
 
Kwa sisi wasukuma pesa ndogo, huwa tunatoa mpaka ng'ombe 30 gharama yake ni zaidi ya hiyo 5m
acha sanaa kapuku wee....
tuma vocha ya buku 5 kwa pm uniaminishe
 
acha sanaa kapuku wee....
tuma vocha ya buku 5 kwa pm uniaminishe

Nipe namba yako kwanza tupange appointment nikuthaminishe usije ukawa na miguu ya chelewa nikaingia hasara
 
Boflo umeanza kujifunza Office Automation sio? Hebu fungua Microsoft Word halafu andika;

= rand ()

kisha bonyeza kitufe cha 'ENTER' kwenye Keyboard yako uone kitakachotokea.
Hiyo tunaitumia tunapotengeneza dummies kujaza text
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom