Jamani kuuliza si ujinga kama si ushamba, kama letters za kiingereza ni hizo zilitotengeneza hiyo sentensi je za kiswahili ni zipi? msaada tafadhali inaweza ikatoka hii kwenye mtihani wa natio
nal halafu ntakuwa nimepata past paper kiulaiiini. Boflo nieleweshe tafadhali in a serious note.
Ya kiswahili siijui na hata ikiweko itakuwa ndefu sana....
chukua na hii: The letter X is used more in Math than it is in the English alphabet.
Duuuu, we jamaa, umeikuta wapi hii?Yaani. Abcdef............yz
The quick brown fox jumps over the lazy dog
Nimejaribu mkuu, nimeletewa sentensi ya ya Boflo page nzima.Boflo umeanza kujifunza Office Automation sio? Hebu fungua Microsoft Word halafu andika;
= rand ()
kisha bonyeza kitufe cha 'ENTER' kwenye Keyboard yako uone kitakachotokea.
Hiyo tunaitumia tunapotengeneza dummies kujaza text