sentesi fupi tu.

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985
Taja sentesi fupi ambayo, inaweza kukufariji/kukupa raha na pia inaweza kukupa huzuni/majonzi kulingana na nyakati tofauti katika maisha.

mfano: 'haya pia yana mwisho'-ukiwa una pesa na utajiri wakati huu huwezi jua kesho itakua vipi, pengine unaweza kurudi katika hali duni na ukawa maskini...

au pia kama unaumwa,unateseka sana kitandani,lakini ukawa na imani kwamba kesho inawezekana mungu akakutendea miujiza ukapona kabisaa...

then kwa upande mwingine wa hii sentesi ni kuwa kama leo unaishi maisha ya dhiki/umaskini jua kwamba kesho ipo na mungu anaweza kukupa ridhiki yake..

hebu na nyie tiririka sentensi fupi ambayo ina maana kubwa ndani yake...
 

Ikiingia lazima pia itoke.
 
Kapambane na hali yako πŸ˜€
 
Si ulisema tamu unalia nini

kopo lachoon hata likiwa jpya haliwekwi kabatini

Samaki hapauki

dume la chawa haliogopi pindo la nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…