Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
sijawahi kuona hiyo
Tuko wengi na bado tunadunda. Pamoja na hiyo senti kumi zilikuwapo na senti moja na senti tano. Ni vigumu kukisia lakini senti moja ya wakati huo uliweza kwenda nayo dukani na ukanunua kitu. Kama unataka kujua zaidi hebu bonyeza hapa chini;
kama kuna aliewahi kutumia senti kama hii na anyooshe mkono. we! mtimkubwa-mkavu, acha! hujazikuta hizi, labda kidoooogo ndesanjo na mark.
1964 ilipoanza hiyo Senti ndio mwaka niliozaliwa je wewe Au Mwana J.F. ulikuwa na miaka mingapi?Au hujazaliwa? Kuna Mtu yoyoyte katika hii J.Forums ameshawahi kuitumia hiyo Senti ya kikoloni?
Tuko wengi na bado tunadunda. Pamoja na hiyo senti kumi zilikuwapo na senti moja na senti tano. Ni vigumu kukisia lakini senti moja ya wakati huo uliweza kwenda nayo dukani na ukanunua kitu. Kama unataka kujua zaidi hebu bonyeza hapa chini;
<http: numismaticon.com="" catalog="" british-east-africa="" coins="" page_1=""> World coin catalog - British East Africa - Page 1 of 1 - Numismaticon.com
<http: numismaticon.com="" catalog="" british-east-africa="" coins="" page_1=""></http:></http:>