Senzo kasinya Yanga

Aisee hii hatari sana
 
Moderator unganisha hzi nyuzi za Afisa mtendaji mkuu wa Simba aliyejiuzuru kama sio kufuta baadhi ya nyuzi maana zimekuwa nyingi alafu dhana ni moja hyohyo..
Naomba uunganishe ili mtu akiingia hapa jukwaan kupata habari iwe rahisi kupata uzi mmoja unaoeleweka.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…