Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Aliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba, Senzo Mbatha ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga, View attachment 1532273
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli Kama hi tuliisikia siku nyingi Sana kutoka mikiaMo huyoooooView attachment 1532293
Dah! muddy kaandika kinyonge kabisa wakati jana tu wallikuwa na shangwe la MorrisonMo huyoooooView attachment 1532293
Mo huyoooooView attachment 1532293
Chama kama chamaKwa hyo kishingo kuna possibility kishingo nae akaenda Yanga?
Hana mpya huyu kashapagawa, sasa hv naye atajiuzuru na kujikojolea kitandani mazimaMo huyoooooView attachment 1532293
Acha kuingilia maisha ya watu.. Huko alikotoka ndo kuna majuto..senzo kwa format ya yanga atalia na majuto juu
Yanga watakuwa wamepata mtu makini sana kuelekea kwenye mabadiliko atawasaidia sana na anazo details muhimu sana walizo pitia watani wao Simba.Aliekuwa CEO wa mabingwa wa Tanzania Simba Africans ajiunga rasmi katika kilabu cha Yanga, View attachment 1532273View attachment 1532274
Akikujibu ni tag mzeeAcha kuingilia maisha ya watu.. Huko alikotoka ndo kuna majuto..
Umeona wapi mtu anaacha kiyoyozi akakimbilia moto mkali unaounguza..
Karibu yanga Afisa mpya
Nini tena hiki jamani mbona ni kama speed ya rocket [emoji573]?[emoji116]View attachment 1532276
Manara kuna sehemu anakosea sana kama ni kumshauri MwamedSenzo karibu katika timu ya wananchi, huku tunajali proffesionalism na pia viongozi pamoja na mashabiki wanasubra hawakurupuki katika masuala yao
Nakuona katika sauti ya Dr shikaTutaelewana tu, ni muda wa kuonyeshana makali
Hiyo ni 100%Kwa hyo kishingo kuna possibility kishingo nae akaenda Yanga?