nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Kocha nabi anataka wachezaji wake wafanye mazoezi kwa siku mbili katika uwanja wa Mkapa.
Sasa CEO genius anafeli wapi jamani maana tarehe 7 ni Taifa stars vs Maurtania ina maana tarehe 6 kisheria lazima Maurtania wafanye mazoezi.
Tarehe 7 mechi yenyewe, tarehe kumi biashara vs wa djibout ina maana tarehe tisa wageni wafanye mazoezi
Tarehe 11 lazima rivers utd wafanye mazoezi tarehe 12 mechi ya utopolo
Je genius Senzo atahakikisha team inafanya mazoezi asubuhi kwa Mkapa?
Wahusika wa uwanja hawataona kama nyasi zinachoshwa bure kwani si kuna uwanja kwenye kambi ya kisasa kule avic town? Kule msaliti alipokuwa anaenda kufanya vikao vya kusaliti machampions.