Ndeonasiae
Senior Member
- Aug 15, 2011
- 102
- 49
Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande mbili bado haijafika mahakamani) japo kuna mvutano mkubwa jamaa hataki kabisa kuvunja hii ndoa (ambayo mimi najua imevunjika ila bado mambo ya kisheria tu). Im in my early 30s, Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that.
Ushauri:
1.Nikiwa kama binadamu wa kawaida honestly najisikia kama kuingia kwenye mahusiano tena, naomba mnisaidie muongozo wanaJF, Is it right to get into the relationship during separation? if yes to what level, kisirisiri au hata public? je ni upi muda muafaka (eg mwaka 1 au 2 au never) hasa unaoshauriwa kwa walioachana kuwa na relationship nyingine?