Ndeonasiae
Senior Member
- Aug 15, 2011
- 102
- 49
- Thread starter
-
- #21
hataki maswali mwenzetu huyuSubiria divorce. . .kwani mahusiano yanakimbia?
hataki maswali anataka aambiwe ndio au hapanaulishakuwa na mahusiano nje ya ndoa?
hapa unamchosha tuunadhani kuwa separated kuna maanisha bado uko ndani ya ndoa (in terms of commitment)?
kama haya ndio muhimu kwake lakini hajui kuwa anahitaji maswali zaidi kueleweshwaIngia kama umepata unayempenda. But ukishakuwa na uhakika nae, fanyeni public wakati huohuo nenda mahakani ku-file maomba ya divorce, kama kinga tu ili asijewabughudhi...
hapa ndio amefikishwa lakini mitazamo mingine ni muhimu pia bidadasidhani kama kuna ubaya.....
Nadhani ukiingia deep kwenye kesi za Divorce (sina uhakika kivile lakini) kuna kigezo cha nani aliyeanza kusaliti ndoa ama nani kasaliti ndoa ambacho humpa upendeleo aliyetendwa pindi swala la mgawanyo wa mali linapokuja...Legally bado uko ndani ya ndoa so kuanza mahusiano ni kusaliti ndoa.
Tukiangalia upande mwingine kiatu ndio kimekubana sana na uchungu wake waujua wewe (Tunakubali).
Kama huamini in forgiving of sins basi hutoenda mbinguni kamwe...kwa sababu wewe sio mtakatifu sana na Mungu kakusamehe...Yani kwa kweli sisi tulalamike tunavyoweza but in the end of the day HAKUNA SABABU INAYOKUJUSTIFY USIMSAMEHE...(FYI: m not saying its easy to forgive)
SWALI : Uliulizwa, Unakubali kuishi naye kwenye shida na raha? Ukajibu Ndiooo!
Naomba unijuze tu, ni shida gani ulikuwa unamaanisha?
Ili na mimi nikiulizwa nijibu nikiwa najua kabisa ni shida gani huwa mnamaanisha.
Subiria divorce. . .kwani mahusiano yanakimbia?
you are right hicho ndicho ninachoamini lakini nikaona si vibaya nifanye kipima joto nione kuwa niko kawaida, pengine inaweza kuwa kosa kisheria!
mwanajamii1, miaka mingapi ndio sahihi kusubiri?:rant:
Yaani wewe hustahili viboko vya pilipili, Nyamayao njoo hapa unahitajia
Bi shosti,trust your guts. Ila take as much time as you want. Kama unajiskia uko tayari kwa mikiki mipya, kwa raha zako. Ila wakati wa separation nahisi kama ni raha ile mbaya, hautegemei call wala sms wala lawama ya mtu. free in spirit and in body. uko teyari kwa stress mpya za hukupokea simu na hujanikumbuka?:A S embarassed:
Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande mbili bado haijafika mahakamani) japo kuna mvutano mkubwa jamaa hataki kabisa kuvunja hii ndoa (ambayo mimi najua imevunjika ila bado mambo ya kisheria tu). Im in my early 30s, Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that.
Ushauri:
1.Nikiwa kama binadamu wa kawaida honestly najisikia kama kuingia kwenye mahusiano tena, naomba mnisaidie muongozo wanaJF, Is it right to get into the relationship during separation? if yes to what level, kisirisiri au hata public? je ni upi muda muafaka (eg mwaka 1 au 2 au never) hasa unaoshauriwa kwa walioachana kuwa na relationship nyingine?
....."kiatu humbana mvaaji!".....
Muda gani vile ndio mnaona 'sasa mapenzi'
na uvumilivu ndio ruksa kwisha?
Hebu acheni maskhara jamani. Huyu mdada
Keshajiridhisha nafsi yake huyo mume hamfai.
Sheria za kiserikali ni miezi 24. sheria za ki Islam ni miezi minne na siku kumi.
Haipendezi kuonekana una mahusiano mengine kabla ya kuachana rasmi, ila kama waweza mfanye kwa 'siri'....maana hujatambuliwa kama 'mjane' mpaka upate karatasi yako. Jamii zetu za kibantu ni rahisi zaidi kumpa uhuru mwanaume afanye alitakalo kuliko mwanamke. Jilinde.
Pole sana.
MwanajamiiOne hiyo inaweza kuwa ni sababu mojawapo ya kutaka kuvunja ndoa lakini sio kuwa ndo imevunjika. Kunahitajika divorce order ya mahakama ku-annul hiyo ndoa.Kin g'ast mbona unapenda kunionea jamani loh mwaka huu ntakula viboko mie hadi nikomae. Mamii kisheria (ya kiserikali ) kama sikosei wanasema ndoa huachwa kudefiniwa kama ndoa halali ikiwa wanandoa wameishi kwa kipindi cha miaka 2 mfululizo bila kuwa under one roof kutokana na kutokuelewana. Yaani kama Baba au Mama yoyoo mmetengana kwa miaka 2 na kuwa ndani ya hiyo miaka miwili efforts za kuwapatanisha zimefanyika zikashindikana!
Je kisheria inakatazwa endapo mmetengana, wapi mwanasheria . Pili wapi nitapata mwanasheria anisaidie kushuhulikia divorce mwenye gharama nafuu maana nimeulizia gharama kwa mwanasheria fulani private yani ni hela ya kiwanja nikabaki mdomo wazi!
Hivi ukimsamehe mtu ni lazima kuishi pamoja kunahusika ehee???