kuiba sidhani kama ni sahihi kwangu nataka iwe halali, ila nitakaowaficha ni watoto tuHii ni alternative Soulmate. Uko sahihi inategemea ni ndoa ya wapi walikofungia but kama ndo serikalini basi 'aibe' hadi miaka 2 ipite!
.........Sasa Mamii utahalalishaje ilhali wawaficha wanao? Mie bado sijakuelewa.kuiba sidhani kama ni sahihi kwangu nataka iwe halali, ila nitakaowaficha ni watoto tu
Huyo mdada anafikiri kuanza mahusino ni swala rahis na watoto wake wawili!! utachemsha, rudi kwa mumeo muishi kama zamani.
.........Sasa Mamii utahalalishaje ilhali wawaficha wanao? Mie bado sijakuelewa.
Nway whatever unavyopanga mpenzi kuhalalisha BILA kuhitimisha rasmi mkataba wa kwanza si sahihi!
mkubwa Mbu....ukisoma hiyo thread ya huyu mleta mada ni kwamba tayari ana mnara wa kiburi...anaweza kuwatuna watoto wake na anasem wako vizuri na hana tatizo na hilo....
umri wake anasema yuko kwenye early 30...na ana watot wawili...kisa cha ndoa kuvunjika mimi na wewe hatukijui ila ukisoma hiyo thread vizuri utagundua tu mkorofi ni nani....Roho y siri huwa inalia sana na huwa haiachi kama mtu unafanya jambo lisilo jema..lazima ilie.....huyu dada ameshindwa kutumia utashi wake na ndio maana roho inalia ..we si unaona tu ...emeondoka na anaishi kivyake lakini anataka afnaye kwa kujificha!!!..hayupo nyumbani kwa mumewe lakini anataka kujificha...shetani siku zote akitaka kukuaabisha huwa anakuvuruga, anakutia mashaka, anakutia woga..kisha unaanza kujiachanganya na kuanza kusema mambo ya ajabu......hivi unafikiri hapo alipo hajafanya maamuzi ila anasubiri ushauri wa hapa jf?
Ndeonasiae huna haja ya kuhangaika kutafuta mwanasheria utaliwa pesa zako bure kwa kesi ambayo ungesimama mwenyewe tu na kupata haki yako. Kesi za divorce ni straight forward - mahakama huwa iko interested kujua ni sababu zipi zinakufanya utake hiyo divorce. Ukishazitaja wanaangalia uzito wake kisheria. Bahati nzuri kuna mdau amezimwaga somewhere kwenye hii sredi yako na wewe umesema namba moja hadi 3 zinakuhusu. Hivyo tayari una sababu za msingi za kupata divorce yako. Dada yangu alikuwa na sababu kama zako, akasimama mwenyewe tu mahakamani, na mahakama ikatoa divorce ingawa mumewe alikuwa anasema bado anampenda. Tatizo ni kwamba kesi hizi zinachua muda mrefu kumalizika, dada yangu amepata divorce yake after 3 years. Lakini hakuna rushwa wala nini, ni haki bin haki! Yaani hata kama mumeo atang'ang'ania msimamo wake kwamba bado anakupenda, bado mahakama haiwezi kukulazimisha kukaa ktk ndoa ya hatari kiasi hicho - I mean kulingana na sababu zako hizo tatu! Kwahiyo mwisho wa siku mahakama itatoa divorce tu unless ubadilishe msimamo wako.
Kama wadau wengi wanavyoshauri, na sisi tulimshauri dada asiingie ktk mahusiano mapya publically kabla divorce haijatoka, maana kisheria unakuwa bado ni mke wake hivyo anaweza kukushika ugoni. Now she is free na wamegawana kila kitu kisheria!
Edson ukorofi unaouona kwa huyu dada, mimi naona ni kitu kingine tofauti. She is independent lady ambaye anaweza kutunza watoto wake!
The fact kwamba hajaelezea sababu za kushindana, namkubali zaidi kuwa she knows what she wants!
Shida ya wanaume kama ninyi mnapenda wanawake ambao hata mkiwaabuse wataendelea kukung'ang'ania kwakuwa umemkaririsha kuwa bila wewe hawezi ishi!
Narudia sijaona ukorofi wake hata kiduchu, ametaka ushauri very specific kuwa when is right to start seing someone else. Pole najua hupendi guts zake na wengine kama yeye!
EMT, Uliongea na Mkuu Invisible kuhusu percentage ya JF in this transaction? As we talk about it kumbuka kulipia signature yako pia. Asante.:typing:Ndeonasiae kwa ushauri wote huu itabidi nikutumie PM for my fees sasa.
Edson ukorofi unaouona kwa huyu dada, mimi naona ni kitu kingine tofauti. She is independent lady ambaye anaweza kutunza watoto wake!
The fact kwamba hajaelezea sababu za kushindana, namkubali zaidi kuwa she knows what she wants!
Shida ya wanaume kama ninyi mnapenda wanawake ambao hata mkiwaabuse wataendelea kukung'ang'ania kwakuwa umemkaririsha kuwa bila wewe hawezi ishi!
Narudia sijaona ukorofi wake hata kiduchu, ametaka ushauri very specific kuwa when is right to start seing someone else. Pole najua hupendi guts zake na wengine kama yeye!
Kaunga na Kongosho mleta mada nae wa kulaumiwa hapa. S/he did not give the details hasa sababu ya kutaka divorce mpaka alivyobanwa. Ndo maana some tukawa na assumptions.
naona kuwa na watoto kigezo kingine cha kuvumilia shida za ndoa,
Uliongea na Mkuu Invisible kuhusu percentage ya JF in this transaction? As we talk about it kumbuka kulipia signature yako pia. Asante.:typing:
Kaunga soma post yake #82...kwa mbali utagungua kitu.....kwa nini asimalize taratibu zote za kupeana talaka kisha akawa huru na kufanya ambo yake....mwenyewe anasema amevumilia miaka mingi na anaongeza kwa kusema ndoa ilikuwa imeshakufa zamani....sasa anachoogopa ni nini? ...kingine akileza kisa kwa nini analilia talaka pengine mimi na wewe tutaelewa lakini pia natural justice inakataa itabidi na mumewe aeleze ( kama ni memeber wa jf)
halafu kingine kaunga ndugu yangu ule mwili mmoja huwa hauji siku ile mnapokuwa mmesimama mbele ya padre au mchungaji...hawa watumishi wakitamka sasa wewe Kaunga na@Edson ni mwili mmoja ule mwili huwa hauji pale....kuufikia mwili mmoja ni safai ndefu sana inayoanzia kwenye uchumba na kukamilishwa miaka mingi sana mkiwa ndani ya ndoa....ukikosea kwenye uchumba huko mbele ya safari lamia upake rangi upepo.
mleta mada ana mixed feeling...bado hajitambui..kwa mbali anampenda mumewe hasa akiwaangalia watoto....akikumbuka manyanyaso roho ya chuki inajaa na kuona heri atafute mwingine kabla taratibu za talaka hazjakamilia...ghafla dhamira inalia kwa uchungu na kumkukumbusha kuwa bado ni mke wa mtu....mhemko wa mwili unakuja juu na akili inamtuma kuiba na kufanya kwa siri....anakuja jf anaomba ushauri...unajua kaunga kuvunja ndoa na kupewa talaka inaweza kuwa furaka kwako kisa umepewa talaka lakini ukiwa na watoto wa yule mme mtalaka ni sawa na kukatwa mguu..huwezi kumsahau...
Ndio anao uwezo wa kuwatunza, kuwalinda na kuwasomesha watoto lakini afate taratibu za talaka..si kavumilia miezi nane akiwa nje ya mme wake....kingine maisha huwa hayana kitu kinaitwa kujaribu....kingine siko katka kundi hilo la unalolisema la aina ya wanaume...mshauri tu huyu binti/mama atunze wanae anachokimbilia ndicho kimemtoa kwa mumewe....huenda asipate amani ya moyo wake na watoto wake akaishiwa kuwatia majeraha ya rohoni
Kama huwezi lipia biashara yako post zako zitafutwa systematically. Usidhani sikuoni? mara kambwa, mara ndom na sasa umeanza online consultation. Ukiambiwa kwa upole unachonga mdomo. Mi ni Super Mod, siishii chit chat.Halafu vipi wewe mbona unataka kuniwekea kauzibe?
Watu tunataka kumaliza dili fasta unaleta mambo ya percentage.
Hebu rudi kule Chitchat ukamoderate kule.
Yaani katika post yangu nzima uliona tuu hiyo sentensi ya mwisho?
Mamod wengine bana. Wanaangalia kula tuu.
Nahisi kuna baadhi wanaingiza emotions za maisha yao binafsi huku jamii forums! Hi EDSON im just saying!
Nahisi kuna baadhi wanaingiza emotions za maisha yao binafsi huku jamii forums! Hi EDSON im just saying!