Sepp Blatter hatimaye atangaza kuachia ngazi....

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Hatimaye amakubali yaishe.. anatangaza sasa hivi.... Chezea makaburu wa Ulay.Africa tumeisha.. Wenye mpira wao wamembana.
FIFA President Sepp Blatter says he will resign from soccer's governing body amid a widening corruption scandal and has promised to call for a fresh elections to choose a successor.

Source: USA TODAY.
 
Sepp Blatter says he will resign as president of football's governing body Fifa amid a corruption scandal.

In announcing his exit, the 79-year-old has called an extraordinary Fifa congress "as soon as possible" to elect a new president.

Source BBC
More to follow.
 
Nami nimeiona hiyo Sky Sports, ila ni to resign, pressure imekuwa kubwa sana toka kwa kina Platini na colleagues.
 
Maskini babu wa watu amekubali yaishe... Du
 
All news agencies zinaonesha live
Jamaa ndo anaaga hivyo

Hakupaswa gombea kama alijua atajiuzuru.
Yule Mjordan arudi kugombea tena.
USA na UK wamewin
 
kadai atajiuzulu na sio kajiuzuru

source chanel10
 
FIFA President Sepp Blatter says he will resign from soccer's governing body amid a widening corruption scandal and has promised to call for a fresh elections to choose a successor.

Source: USA TODAY.
 
All news agencies zinaonesha live
Jamaa ndo anaaga hivyo

Hakupaswa gombea kama alijua atajiuzuru.
Yule Mjordan arudi kugombea tena.
USA na UK wamewin
Kuonyesha kuwa bado anakubalika.
 
Alitaka kupambana na US na NATO kwa pamoja!!!
 
Habari zathibitisha Sepp Blatter Kachia Ngazi Kwa tuhuma za rushwa. Lini viongozi wetu wataiga Hii Mifano
 
Kuonyesha kuwa bado anakubalika.

Hakuwa na jinsi.
Sponsors walikuwa wanataka jiondoa kama yeye na zile issue za rushwa zisingekuwa solved.
Pia UEFA walikuwa na mpango wa kugomea mashindano ya FIFA kama aneendelea kuwa raisi.

Kingine umri umemtupa mkono aisee
 
UK oyeee, USA oyeee na Platin oyeee. Tumechoshwa na Ufisadi ndani ya FIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…