UK oyeee, USA oyeee na Platin oyeee. Tumechoshwa na Ufisadi ndani ya FIFA.
Jamaa alikosea kutaka gombea mara ya tano. Ingawa alichaguliwa watu hawakupenda ila hawakuwa na jinsi.
kadai atajiuzulu na sio kajiuzuru
source chanel10
haja resign kasema he will resign
sasa hapo nashindwa kuelewa
Sepp ni Lowasa wa Ulaya
Anaitisha Mkutano mwingine wa dharura kuchagua mrithi wake.