USA wakishikilia kitu ni noma.
lakini taarifa hizi sio nzuri kwa waafrika wapenda soka.
Michel Platin atagombea,na yule Ali wa JORDAN, sijui na kina nani wengine?Kampen sasa zianze ,Sepp Blatter miaka yote hiyo Raisi,bora kaondoka
Hapana chezea shinikizo la Marekani bana hahahaaaaaaaa
Nyatia yote hii ya Marekani ni kutaka kumnyang'anya Putin ku host fainali za 2018!. Let's wait and see!.
Michel Platin atagombea,na yule Ali wa JORDAN, sijui na kina nani wengine?Kampen sasa zianze ,Sepp Blatter miaka yote hiyo Raisi,bora kaondoka