Sepp Blatter na Michel Platin wafungiwa miaka 8

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672


FIFA's STATEMENT

"The proceedings against Mr Blatter primarily related to a payment of CHF 2,000,000 (?1.34m) transferred in February 2011 from FIFA to Mr Platini.

"Mr Blatter, in his position as President of FIFA, authorised the payment to Mr Platini which had no legal basis in the written agreement signed between both officials on 25 August 1999.-

"Neither in his written statement nor in his personal hearing was Mr Blatter able to demonstrate another legal basis for this payment. His assertion of an oral agreement was determined as not convincing and was rejected by the chamber."
 

Attachments

  • 151221092400_michel_platini_and_sepp_blatter_624x351_afp_nocredit.jpg
    15.3 KB · Views: 334
Safi sana, unajua uefa walikuwa wanampiga madongo blatter wakiamini Platini ndio atakuja kureplace nafasi ile, ili waendeleze upuuzi wao wa kuibeba Europe kwa kila kitu, sasa uwanja uko wazi
 
Marafiki wa zamani waliogeuka kuwa maadui wamefungiwa miaka 8 kujihusisha na football, ama kweli wameanguka pamoja.

Duuuu....hiii ni furaha kubwa sana kwangu , kwani waliisha jiona
kama miungu watu huyo babu Blatter na yule kipele anayejifanya
kuwa yeye msafi sana , Platin kumbe naye kaoza mbayaaa.

 
platin dreams became "nightmare", alitaka awe raisi.
 
Duuuuu..........sasa si ndio blatter anastaafu kila kitu kuhusu soka, ama!?
 
platini ndio keshapotezwa kwenye mambo ya mpira, ndoto ya kuongoza fifa imeshakufa!
 
Mambo ya marekani hayo, anaitaka FIFA kwa udi na uvumba, huko tunapokwenda sijui hali itakuwaje.
 
Hili limeonesha dunia how everything in this world directed by usa direct or indirect
 
UEFA sasa watafute Rais mpya. Urais wa FIFA nao umeshafika kikomo. Kwisha kabisa Bwana Platini
 
Marais wa FIFA na UEFA wafungwa miaka nane kutojihusisha na kandanda duniani kwakupatikana na hata ya kupokea rushwa
 
Marecan bado ni super power , blatter aliambiwa apele mashindano ya kombe la dunia malekan akazngua
 
yalikua ni majip yalokwsha iva mda mrefu! kifungo akitoshi zaid napendekeza mahakama za kawaida zihukumu waende jela kabsa
 
Duuh....Ndumbaro atawah uraian kabla yao
 
Kombe la dunia wangepewa bafasi USA na England yote haya yasingetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…