Sept. 11

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
wadau nimesome kwenye gazeti la rai "hoja ya nguvu" kuna makala inazungumzia sept. 11. kwa kweli watu (wazungu) wanajua kupanga mambo na matukio. ndege mojawapo iliyolipua wtc ilikuwa na namba Q33 NY. sasa chukua hiyo namba uende kwenye microsoft word kisha andika then badili aina ya maandishi toka times new roman kuwa wingdings, then yakuze hadi size 48 ujionee vituko vya hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…