Sera kandamizi wasichana wanaosoma shule za serikali

Sera kandamizi wasichana wanaosoma shule za serikali

tyadcodar

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
170
Reaction score
12
Sheria ya mwaka 1978 iliyotumiwa na waziri wa vijana na michezo mh. E nchimbi kuwakandamiza waschana wanao pata uja uzito wasiendelee na masomo inawalenga wanafunzi wanasoma shule za serikali.je wanaosoma shule za binafsi mbona wao huendelea na masomo kawaida.atoe takwimu kwa wale waliorudi baada ya kujifungua wameambukiza wangapi kupata uja uzito?
 
Back
Top Bottom