Kateka Sanza
Member
- Jun 8, 2013
- 44
- 8
Haitawezekana, labda ikitokea muujiza watoto wa wakubwa zetu wafukuzwe na kupigwa stop shule za nnje ya Tanzania
Nimemsikiliza Mh. Mkuu wa Kaya marudio ya hotuba yake ya mwisho wa mwaka akisema kwamba serikali imeandaa Sera mpya itakayowezesha elimu ya sasa kuendana na hali ya dunia ya leo. Je utekelezwaji wake kweli unaweza leta tija kwa watanzania? Maana bado cielewi BIG RESULT NOW katka elimu kama imefanikiwa au la. Tirilika hapa mwanazuoni.
Sera ya elimu kwa ajili ya nani make wote wanaoandaa Sera hiyo haitawahusu wao moja kwa moja make watoto wao wanasoma inje au kwenye shule ambazo hazitafuata Sera hiyo. Itawahusu kwa namna gani watapata posho na kutafuta mianya ya kupiga pesa zitakazotengwa kwa ajili ya hiyo serasera yenyewe ipo nje tayari? wewe umeitafuta na kuisoma na kuona kama inatekelezeka? nilitarajia wewe uanze kutiririka ili kuonesha sera ya elimu ambayo ilikufanya upate elimu ilikuwa ni safi sana!!
View attachment 215970
kwa style hii tunaweza tukafikia lengo lakini
Kyela hiyo kaka kkwa Mwakyembe, hapo kipindi cha masika likizo, akidondoka nyoka mtini mapumzikoIv hi kitu ipo tz? mweeee afu wanakula pesa bila waswas
Kyela hiyo kaka kkwa Mwakyembe, hapo kipindi cha masika likizo, akidondoka nyoka mtini mapumziko
Iv hi kitu ipo tz? mweeee afu wanakula pesa bila waswas
Wewe huijui Tz yetu vizuri..
Kuna shule ambazo ukiziona hutaamini....alafu mkuu wa kaya ndio alihaidi kutumia mfumo wa kompyuta kufundishia!,,,,sasa kwa darasa kama hili sijui compyuta itakaa wap hapo?