M Mbega Mzuri Member Joined Aug 1, 2008 Posts 44 Reaction score 2 Jun 29, 2011 #1 Wadau, naomba mnifahamishe kama sera ya kilimo na mifugo imewanufaisha Watanzania na kwa kiwango gani. Nawasilisha
Wadau, naomba mnifahamishe kama sera ya kilimo na mifugo imewanufaisha Watanzania na kwa kiwango gani. Nawasilisha
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Dec 10, 2013 #2 Mbega Mzuri said: Wadau, naomba mnifahamishe kama sera ya kilimo na mifugo imewanufaisha Watanzania na kwa kiwango gani. Nawasilisha Click to expand... Hakuna Sera ya Kilimo na Mifugo ya mwaka 1999 hapa Tanzania ila kuna Sera ya Kilimo na Mifugo ya Mwaka 1997 ( https://www.google.co.tz/#q=tanzania+agricultural+policy+1997) na Sera ya Mifugo ya mwaka 2006 (http://www.mifugo.go.tz/documents_storage/National Livetock Policy (NLP) Final as per Cabinet.doc.
Mbega Mzuri said: Wadau, naomba mnifahamishe kama sera ya kilimo na mifugo imewanufaisha Watanzania na kwa kiwango gani. Nawasilisha Click to expand... Hakuna Sera ya Kilimo na Mifugo ya mwaka 1999 hapa Tanzania ila kuna Sera ya Kilimo na Mifugo ya Mwaka 1997 ( https://www.google.co.tz/#q=tanzania+agricultural+policy+1997) na Sera ya Mifugo ya mwaka 2006 (http://www.mifugo.go.tz/documents_storage/National Livetock Policy (NLP) Final as per Cabinet.doc.