Mimba asiyo ugonjwa; inatupasa jamii kujadiliana na kupeleka miswada Bungeni kuhusu kupambana na magonjwa yanayoua Watanzania na siyo kupambana na maradhi ya Starehe kama Mimba zisizotakiwa (Ambazo zinalazimisha Abortion)
Mimba hizi zinazoongelewa siyo ugonjwa hivyo hakuna sababu ya Wabunge kukaa katika kikao na kujadili suala hili lisilo na manufaa kwa Taifa, hivyo watakuwa wanajichukulia Posho tu na kupoteza muda wa kujadili masilahi ya taifa.
Hadi tunavyoongea Mahospitalini mimba zinatolewa, yaani ni zile ambazo zipo kihalali na kwa sababu ya kunusuru maisha ya Mama endapo Daktari ataona kuwa kuna hatari ya kupoteza mama na mtoto (Masuala ya Kiafya)
Lakini hawa wanaoenda kutoa mimba vichochoroni ni wale wenye Mimba zisizotakiwa. Eti wengine wanasema zimeingia Bahati Mbaya. PTYUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!! Hakuna mimba inayoingia bahati mbaya, zote zimedhamiriwa kwani wakati mnafanya unapanda mahindi ulitegemea kuvuna nini??? Huwezi vuna choroko ikiwa ulipanda mahindi!!!!!!
KWa Bunge kujadili hii mada katika vikao vyake ni kupoteza pesa za Taifa na muda wa kjadili mambo muhimu.
MIMBA SIYO UGONJWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
KWA KUJADILI NA KUPITISHA MUSWADA HUU NI KUHALALISHA MAUAJI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
WABUNGE WOTE WATAKAOJADILI NA KUUKUBALI WAFUNGWE MIAKA 30 JELA KWA KOSA LA MAUAJI!!!!!!!!!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!