Sera ya lugha(kiswahili) ina matatizo mengi je Katiba mpya itayatatua

Sera ya lugha(kiswahili) ina matatizo mengi je Katiba mpya itayatatua

Joined
Mar 5, 2014
Posts
93
Reaction score
48
Sera inayotumika kwanza ipo ndani ya sera ya utamaduni na hivyo lugha hii inakosa mawanda mapana.
Urasimishwaji wa Kiswahili kama lugha ya Taifa umeongozwa na matamko ya viongozi mara nyingi kuanzia hayati Baba wa Taifa hivyo basi huu ni wakati wa Kukirasimisha Kiswahili kisheria ili kukipa uhalali wa Kisheria na siyo ule wa kimatamko tu.
 
Back
Top Bottom