Uchaguzi 2020 Sera ya NCCR-MAGEUZI Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Nicolas J Clinton Gabone

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
879
Reaction score
491
SERA zetu NCCR-MAGEUZI kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Chama cha NCCR-MAGEUZI kinajivunia kufanya siasa za kizalendo, tunajivunia Itikadi yetu ya UTU. Ambayo moja ya mambo muhimu ya itikadi ya UTU ni UHAI wa watu na viumbe hai wote. Je wewe uko tayari kuungana na sisi katika Ujenzi wa Jamii kubwa kuleta maendeleo endelevu kwa vizazi vyetu. Sisi tuwe msingi wa maisha bora ya Watanzania wote bila kujali tofauti zetu. Tuungane kama Taifa na kuinga mkono NCCR-MAGEUZI ili mimi na wewe tuwe sehemu ya MAGEUZI makubwa Nchini.

Sera zetu kama NCCR-MAGEUZI

● Maendeleo ya Watu
● Miundombinu wezeshi
● Mazingira mazuri ya Uwekezaji
● Mahusiano Mazuri ya Kimataifa
● Mikataba ya Win-Win sekta ya Madini.
● Uchumi wa Soko Jamii
● Ajira
● Soko la uhakika la mazao ya kilimo na ufugaji
● Demokrasia ya kweli
● Haki za Binadamu na Makundi Maalumu
● Elimu bora na Nafuu kwa wote
● Katiba Mpya.

Siasa za Kizalendo ndiyo jadi au utamaduni wetu kama Watanzania, mwasisi wa Taifa letu Mwalimu Julius Nyerere aliasisi Taifa lenye watu wamoja na kudai uhuru wa Taifa letu kwa amani. NCCR-MAGEUZI Tunajivunia kuwa na Taifa moja lenye Amani mpaka leo. Hivyo utamaduni wetu ni kukaa pamoja kama Ndugu bila kujali nasaba zetu na sisi NCCR-MAGEUZI hii ndo shabaha yetu.

Ungana nasi leo uwe sehemu ya uongozi wa kidiplomasia na wenye maridhiano ili kulilinda Taifa letu na migogoro ya kisiasa ili twende kwenye maendeleo ya Uchumi unakua kwa kasi.

Serikali ya NCCR-MAGEUZI italinda UHAI wa watu wake na viumbe hai wote na kila mtu atashiriki katika kufanya kazi kwa bidii ili kujenga uchumi wa Taifa.

Imeandaliwa na;
Ndugu; Nicolas Jovin Clinton,
Kaimu Mwenyekiti wa KITENGO cha Vijana NCCR-MAGEUZI Taifa

"PAMOJA TUTASHINDA"

FB_IMG_1592621220334.jpeg
 
Hawa wanaandika sera zinazovutia kwakua wanajua wazi hawatakua na nafasi ya kuzitekeleza.
 
View attachment 1483857
Wasaliti wakubwa nyie. CCMB.. James ......,..... ............ Mbatia

Utanikana mara tatu kabla ya jogoo kuwika!
 
Back
Top Bottom