Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Nyoote hamjambo. Nina ugua goli 7 za Liverpool.
Narejea mada husika. Kila mara nimekuwa nikisema kweli na kuweka wazi ya kuwa mimi ni shabiki wa CCM, ila sio CCM mpya hapana. Wenye CCM yao wametulia kimya.
Mgombea uraisi wa CCM mara nyingi akiwa anapiga kampeni yake ya kutaka kupewa miaka mingine mitano tena amekuwa akijikita pia kuwaombea kura Wabunge. Katika kuomba kura huko inaonekana wenye nchi hawataki kuwapa CCM Wabunge, labda kutokana na Wabunge kuwa sehemu ya kukandamiza uhitaji wa mahitaji ya wananchi.
Bunge lililopita ambalo Job akiwa na kazi ya kuwa spika wa Bunge ukweli kila mtu aliona vitimbi na vioja kama sio vibweka vya uongozi wake. Wabunge wakajitoa ufahamu na kuwa sehemu ya Serikali.
Mgombea wetu wa Urais sijui anajisikiaje kwenda kumuombea kura mtu ambaye anachembua mchele na kuosha vyombo tena akiwa na nguo za CCM. Baada ya kunadi sera unaosha vyombo.
Mbona wale wa alama za kipago cha manati hawafanyi vibweka kama hivi. Wananchi na wapiga kura mkae mkijua kuwa muda huu ndio wa kuchagua hasa maana mchambua mchele na muosha vyombo na mwingine muosha kucha za wadada watakuja kuwaumiza maana mafuria na nyungo mtabaki navyo na kucha zenu. Chagueni watetezi hata kutoka chama cha sera ya Ubwabwa.