Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
SERA ZANGU KAMA MGOMBEA BINAFSI 2025
Nipeni kura zanu, mm nitawafanyia haya yafuatayo😝🥲😛😛Nichagueni mm tuishi kama Mamtoni
1. Gharama ya ufungaji wa umeme itashuka na kuwa 10,000 kwa kila mwanakijiji kasoro mijini, 🤣😛😝hapa napata kura zote za vijijini🤣😛😝😝
2. Gharama ya unit ya umeme itashuja kutoka bei ya sasa na kuwa sh 2 kwa unit😝😝😝😝
3. Walimu wote aliomaliza vyuo kuanzia 2010 mpaka 2023 wataajiriwa wote bila ya mashariti.😛😝Kura za mapema sana hizi
4. Watu wa kada ya afya waliomaliza 2010 mpaka 2023 wataajiriwa wote bila mashariti😛😛Kura za bure hizi hazina kipengele
5. Kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu Elimu itakuwa ni bure🤣😝😝kila mwenye mtoto lazima anipe kura😝😝
6. Wanafunzi wote waliomaliza vyuo kuanzia 2024 kurudi nyuma wote watasamehewa mikopo yao😝😝Hapa hata mm nitajipigia kura😝😝😛😆
7. Wakulima wote watapewa mbolea ya ruzuku na ya bei nafuu, watakopeshwa na watalipa baada ya kuvuna na kuuza mazao yao, na kama hawatavuna kwa sababu zozote zile zenye mashiko atasamehewa hilo deni baada ya kamati maalum kujiridhisha😛🙈🙈kura za wakulima hazina kipengele nachukua mapema sana
9. Wamachinga wote hawatalipa kodi, utawekwa utaratibu maalum wa kuwatambua🤣😝😝Hizi naziokota ti na kujaza kwenye visanduku vya kura😝😝😝
10. Boda boda wote watatengenezewa mazingira rafiki ya kufanya kazi zao na watakatiwa bima na serikali😛😛😛Hazi kura nazo hazina kipengele😝😘😘
11. Kila mtanzania atapatiwa bima ya afya bure(Matibabu bure kwa kila mtanzania)😆😆
12. Watumishi wa Serikali kima cha chini cha mshahara kitakuwa Mil 1.5 na kodi ya kwenye mshahara itakuwa 5% kwa wote🤣🥲🙈hapa nakula kura zote za watumishi.
13. Gharama ya usafiri wa train itapunguzwa ili kila mtanzania aweze kutumia usafiri huu. Mfano (Dar dodoma iwe 20,000)🤣🤣Dar Moro 5,000🥲🤣🤣
14. Madeni yote ya watumishi wa serikali yatalipwa ndani ya Miezi miwili ya utawala.🤣😝😝Hapa napata kura za familia nzima
15. Madeni yote ya wazabuni na wakandarasi yatalipwa ndani ya miezi 8 ya utawala.🤣🙈kura za wadosi wote nachukua
16. Mishahara ya wabunge itapunguzwa ili iweze kufidia ada za wanafunzi na huduma za afya🤣😝😝Tajiei mwombee njaa hapa kura za walala hoi nachukua zote, ubaya ubwela🤣😝
17. Wazee wote watatibiwa bure tena watakuwa na madaktari maalum kwa kila hosp, zahanati na vituo vya afya😝🤣
18. Mabando yote ya simu hakuna kuchacha mpaka yaishe yenyewe, kodi kwenye mabando na simu za kaida zinapunguzwa.
Ni mimi mgombea binafsi wa nchi ya kusadikika ambayo kuwako kwake ni kufikirika