au mkifika tu akupe pesa ushikilie wew au kama mnalipa kwa kadi basi wew ndo uitunze chini ya nyonyo๐๐๐Bora umenisanua shoga yangu! Kijana anataka kuingia mitini anikomoe aje kuanzisha uzi mwingine!
Kumbe ni mwanafunzi wa advance halafu anataka kula bataUshapata notes nzur za advanced chemistry?
Safi! Afadhali umenipa mbinu! maana hapa kuosha vyombo ni kugusa!au mkifika tu akupe pesa ushikilie wew au kama mnalipa kwa kadi basi wew ndo uitunze chini ya nyonyo๐๐๐
tena vyombo vya supu ya utumbo, mmmh hapan kabisa akupe tu pesa ili ujipimie pekeyako ๐๐คญSafi! Afadhali umenipa mbinu! maana hapa kuosha vyombo ni kugusa!
Pesa yenyewe ndio hiyo 300k hana nyingine halafu anaita jopo langu, unamwelewa kweli?tena vyombo vya supu ya utumbo, mmmh hapan kabisa akupe tu pesa ili ujipimie pekeyako ๐๐คญ
sijamuelewa ndo maana nikakustua msije mkakimbiwa huko๐๐Pesa yenyewe ndio hiyo 300k hqna nyingine halafu anaita jopo langu, unamwelewa kweli?
Nenda kaleweshwe mtoto mzuriKwa pesa gani?
Uwii hapana kwakweli, hapa hamna kilasijamuelewa ndo maana nikakustua msije mkakimbiwa huko๐๐
Hapana aisee! Ingekuwa we ungeweza?Nenda kaleweshwe mtoto mzuri
Enhee!
[/QUOTEIla win one ๐ ๐au mkifika tu akupe pesa ushikilie wew au kama mnalipa kwa kadi basi wew ndo uitunze chini ya nyonyo๐๐
Duuuh kwani haitoshiPesa yenyewe ndio hiyo 300k hana nyingine halafu anaita jopo langu, unamwelewa kweli?
Haaaaaaaah nitaongeza 200K naona wanakutishia sana endelea kula ngoma ya Fally Ipupa kwanza BakanjaSafi! Afadhali umenipa mbinu! maana hapa kuosha vyombo ni kugusa!
Haitoshi ndioDuuuh kwani haitoshi
Umejuaje ndio naifurahia hapa! Haya ongeza hiyo pesa nipo kwa njia!๐๐ฝHaaaaaaaah nitaongeza 200K naona wanakutishia sana endelea kula ngoma ya Fally Ipupa kwanza Bakanja