Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
- Thread starter
-
- #81
Money can't buy loveHuyu mrembo naona anazidi kupaa kimataifa..sema sisi wengine tumeshajizeekea tusije kufia kifuani ngoja tule kwa macho..Seran mrembo unabahati ya mtende.
Hakuna kitu!Huyu mrembo naona anazidi kupaa kimataifa..sema sisi wengine tumeshajizeekea tusije kufia kifuani ngoja tule kwa macho..Seran mrembo unabahati ya mtende.
Huwa ni wanoko sana, utashangaa picha zako zimeneaa mtandao bila ww kujua.Kutoka out na asiyepiga vyombo halafu yeye ndo mlipa bill hata hainogi🤗🤗🤗🤗
Haaaaaaaaaaaah spy wa CIA siyoHuwa ni wanoko sana, utashangaa picha zako zimeneaa mtandao bila ww kujua.
Exactly.Money can't buy love
Ndio hivo.Haaaaaaaaaaaah spy wa CIA siyo
sawa, kama ni michezo ya kuigizaHakuna kitu!
hisiaHuyu mrembo naona anazidi kupaa kimataifa..sema sisi wengine tumeshajizeekea tusije kufia kifuani ngoja tule kwa macho..Seran mrembo unabahati ya mtende.
Hahahaha😂😂😂Duuuh kwani haitoshi
Noma Sana hivyo vijamaa!Huwa ni wanoko sana, utashangaa picha zako zimeneaa mtandao bila ww kujua.
Wikeend ndo inaoshiriziaHakuna kitu!
Hakuna namna!Wikeend ndo inaoshirizia
Unajibeep sio😂Uje usikawie maisha ni haya haya
Hapana jamani ni mwendo wa kufukua makaburiUnajibeep sio😂
Kwanini nakuamini sana nilimuita active akapita nao ule uziUnajibeep sio😂
Ulimuita afanye nini sasa lazima angeutoa we hakuna hata raha kila Siku makelele tu! Maisha ya *******!Kwanini nakuamini sana nilimuita active akapita nao ule uzi
Kwanini wanatukanana kwenye uzi wanguUlimuita afanye nini sasa lazima angeutoa we hakuna hata raha kila Siku makelele tu! Maisha ya *******!