SERBIA [emoji739] ALBANIA

SERBIA [emoji739] ALBANIA

Brain Mpogole

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
11
Reaction score
15
Octoba 14 mwaka2014 kulikua na mechi yakufuzu EURO2016 kati ya nchi zenye uhasama/uadui mkubwa sana Serbia vs Albania mechii hii ilipigwa Belgrade Serbia lakini dk40 refa wa mchezo huo Martin Atkinson(yule wa EPL) alilazimu kuusitisha mchezo huo baada ya ghasia kubwa kutokea, huku mashabiki wa Serbia wakiimba nyimbo za kibaguzi.
:
Chanzo chafujo hizo nii baada ya shabiki wa ALBANIA kurusha ‘tiara' yenye bendera ya Albania huku mchezaji mmoja wa Serbia kuanza kuivuta na kutaka kuipasua kabla yakuwahiwa na mchezaji wa Albania na kuichukua fujo zikaanzia hapo baadhi ya fans wa Serbia waliingia kuanza kuwapiga wa Albania na mchezo ulifutwa Albania akapewa Point 3 na mabao3! (Angalia pichani)
:
Huu uhasama chanzo chake nii sehemu ya Kosovo ambayo Ilikua miliki ya Wa Serbia ambao wa wakosovo ni asili ya Albania,mpk Kosovo inapata Uhuru Serbia hawakua tyr kuitambua Kosovo km nchi Bali ni ardhi yao, waliosoma historia kdg watakua wanaelewa hii mambo!
:
Ila kwasasa Kosovo inatambulika mpk FIFA na inaruhusiwa kushiriki mashindano yote yanahusu FIFA, tofauti na awali walikua wamewekewa vikwazo kwamba watashiriki mechi za kirafiki tu tena hawaruhusiwi kuimba nyimbo ya taifa wala bendera na mechi hizo hawakuruhusiwa kucheza na nchi za Ki-Yugoslavia kwa ajili ya usalama.
:
Baadhi ya mastaa wenye asili ya Kosovo(Albania) ni Xherdan Shaqiri,Grant Xhaka,Valom Behrami,Dzmeili,Adnan Januzaj n.k km unakumbuka ile shangilia ya Xhaka na Shaqiri pale Urusi dhidi ya Serbia ishara ya vidole km Eagles(Bendera ya Albania) ambayo iLifanya wapigwe faini walikua wanaunga mkono wa Albania juu ya ukandamizaji/Ubaguzi wa Serbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom