Seregeti boys mkifunga goli shangilieni vizuri

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Mnapopata goli pigeni viduku,michiriku,sengeli.kiukweli kushangilia kwa style fulani kunaleta mzuka.sasa mnapata goli hampigi shangwe kwa kweli mechi ijayo wakilisheni.mbwembwe zinatupa mzuka jamani.waigeni Ghana .wanapiga show baafa ya ushindi
 
Kawaisidie kushangilia

Sio unakuja kipga debe hapa
Wakat hata disco ulikua unaamshwa na dem wa form 2
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kumbe siku hizi kuna SEREGETI BOYS?? au ni mimi nimekosea kusoma title
 
"Goli" la aina gani mkuu.

-Kaveli-
 
Mwakyembe Jana nasikia ameuliza mbona bongo muvi hajawaona yani haelewi lolote
 
Kumbe siku hizi kuna SEREGETI BOYS?? au ni mimi nimekosea kusoma title
Ana mafua, yamembana!
=====
Hizo staili alizozisema hata sijazielewa...!
========
Mimi nilipendekeza kikundi cha ushangiliaji cha Ashanti Utd watoto wa mjini makao yao Ilala wapewe kazi ya kuwashangilia vijana. Kuhusu hao vijana kushangilia washigilie sana ila kwa staha. Siyo kama shangilia ya kipa wa taifa la DRC, hiyo hapana.
 
Ushangiliaji wao ni mzuri wa kistaarabu, wanapendeza sana
 
Reactions: PNC
Wachukuliwe Vijana wa Uvccm Lumumba
 
Reactions: PNC
Wachukuliwe Vijana wa Uvccm Lumumba
Jana nilimkosa mtu konzi...kwa habari hizi hizi...alitaka kuleta habari za ajabu mara simba mara yanga...mara sijui nini, lengo atuondoe kwenye kuunganika pamoja kama taifa kuishangilia timu yetu ya vijana ya Serengeti Boys. Na wewe naona umeanza....
 
Ila we mtu wa ajabu sana unakumbuka juzi ulinipiga mkwala wa kishamba
 
Hawakujifunza namna ya kushangilia Magoli kwa kuwa hawakuwa na uhakika Kama kutakuwa na kushangilia [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Ila we mtu wa ajabu sana unakumbuka juzi ulinipiga mkwala wa kishamba
Serengeti Boys ndiyo habari ya mjini achana na mambo ya juzi....! Leta mbinu za kutuunganisha watanzania kuunga mkono timu yetu wote watanzania.
 
Jana nilimkosa mtu konzi...kwa habari hizi hizi...alitaka kuleta habari za ajabu mara simba mara yanga...mara sijui nini, lengo atuondoe kwenye kuunganika pamoja kama taifa kuishangilia timu yetu ya vijana ya Serengeti Boys. Na wewe naona umeanza....
Haa haa!! Umenikumbusha mbali sana! Kuna watu wakikupiga konzi/kwenzi lazima sehemu hiyo isiote nywele tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…