Serekali kuondosha leseni za biashara halmashauri, hongera

Serekali kuondosha leseni za biashara halmashauri, hongera

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Naipongeza serekali kwa hili,hakika inadhamira njema na nzuri kwa taifa hili.
 
Attachments

  • 367864867_1076325087077298_4835267409851787455_n.mp4
    5.1 MB
Kwamba hawaitaji hela? Timing hiyo, lazima kuna mahali watapata mara 2
Kwanini hamna jema? /
Nijuavyo Mimi hapa serekali awamu ya sita imecheza karata muhimu mno!,wakija kumalizia na suala la double taxation,kwisha kazi ambalo mchakato wake umeanza,serekali awamu ya sita inakwenda kumaliza kero na hoja zote zenye kupigiwa kelele...!
 
Wanaondoa mipaka yaani ukiwa na leseni unaweza kufanya biashara Mkoa wowote maana zitakua mnaweza kuomba kwa Mtandao..sio kama sasa Leseni ya Kariakoo haiwezi kufanya kazi Iringa...hawawezi kufuta mapato ya Serikali kirahisi hivyo..
 
Kwanini hamna jema? /
Nijuavyo Mimi hapa serekali awamu ya sita imecheza karata muhimu mno!,wakija kumalizia na suala la double taxation,kwisha kazi ambalo mchakato wake umeanza,serekali awamu ya sita inakwenda kumaliza kero na hoja zote zenye kupigiwa kelele...!

Hakuna tumaini na hii serikali wala jema.
 
Halmashauri zitazidi kupumulia mashine,moja ya chanzo kikuu cha mapato kimerudishwa serikali kuu.

Nashauri utaratibu uendelea wa halmashauri kutoa leseni za biashara ila iwe ruhusu kwa mfanyabiashara kutumia leseni hiyo halmashauri yoyote hadi pale itakapo isha muda ndio aruhusiwe kukata leseni ya halmashuri husika.
 
Back
Top Bottom