serekali imekuwa ikitangaza kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure jambo ambalo sikweli.
mkuu ,kama wamama wana uwezo wa kununua vitenge iweje washindwe kujigharamia huduma ya uzazi?
sasa wakikutoza si unagoma unawaletea vile vipeperushi vinavoonyesha kila kitu
Labda vijijini hiyo ni kweli kabisa inakuwa ngumu sana mtu kupata pesa ya kununua kitenge, lakini hapa mjini kila siku wanacheza rusha roho, wanaenda hadi kukopa FINCA kwa ajili ya Rusha roho na kutunzana, lakini akifika pale m/nyamala Hosp hataki kutoa pesa ili ahudumiwe vizuri ndipo hapo nami nashangaa sana, wanathamini rusha roho kuliko afya zao.mkuu ,kama wamama wana uwezo wa kununua vitenge iweje washindwe kujigharamia huduma ya uzazi?