Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
mimi kama mtanganyika naitaka tanganyika yangu. my motherland. nataka japo jina tu. hata kama kila kitu kitabaki kilekile. ya zanzibar watasema wazanzibari wenyewe.
lakini kwa mujibu wa kabrasha la tume ya katiba, rais wa serikali ya muungano anatakiwa awe mmoja wapo wa marais wastaafu. kwa kuwa jakaya anamaliza muda wake, rais wa wachache huyu! ina maana sasa kufikia kwaka 2015 tanzania itakuwa na marais wastaafu watatu walio hai, Mungu awape pumzi.
1. Jakaya
2. Mzee Mwinyi
3. Mzee Mkapa
Swali, ikiwa hoja ya serikali 3 itapita, ni nani anafaa kuwa Rais wa Serekali ya Muungano?