Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar yatiliana mikataba na Serekali ya Japani kusambazwa umeme Z'bar.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
858
Reaction score
130

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Khamis Mussa akitia saini kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Hiroshi Nakagawa akisaini kwa niaba ya Sedrekali ya Japan, utiaji wa saini huo umefanyika hoteli ya serena inn shangani.

MANEJA Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk mwenye suti na Maofisa wa Shirika hilo wakishughudia utiaji wa saini huo, uliofanyika Hoteli ya Serena Shangani.

KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Maendeleo, Khamis Mussa na Mwakilishi wa JICA Yukihide Katsuta wakitiliana saini kwa niaba ya Taasisi zao kwa ajili ya Usambazaji wa Umeme Unguja.
 
acha uduanzi wewe ..... hembu fikirieni jinsi ya kuzalisha umeme na si kusambaza umeme
 
Back
Top Bottom