Royal Palm Hotel iliyokuwa inamilikiwa na Movenpick Hotels and Resorts imeuzwa kwa kampuni ya Kenya, TPS Eastern Africa, ambayo ni mwendeshaji wa hoteli za Serena. The value of transaction has not been disclosed. Wamiliki wakubwa wa TPS Eastern Africa ni Aga Khan Fund for Economic Development.
Kwa hiyo, kuanzia mwenzi ujao, Royal Palm Hotel itabadilishwa jina na kuitwa Dar es Salaam Serena Hotel. TPS Eastern Africa tayari wana wanaendesha hoteli Kenya, Zanzibar, Msumbiji, Rwanda and Uganda na kaskazni mwa Tanzania.
Inaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
Mkuu, si fice years exemption. Ilikuwa ni five year tax holiday. Ni vitu viwili tofauti. Hiyo sheria ya five years tax holiday ilishareebishwa na hicho kipengele kilishaondolewa wakati masuala ya tax exemption yana taratibu zakeInaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
Royal Palm Hotel iliyokuwa inamilikiwa na Movenpick Hotels and Resorts imeuzwa kwa kampuni ya Kenya, TPS Eastern Africa, ambayo ni mwendeshaji wa hoteli za Serena. The value of transaction has not been disclosed. Wamiliki wakubwa wa TPS Eastern Africa ni Aga Khan Fund for Economic Development.
Kwa hiyo, kuanzia mwenzi ujao, Royal Palm Hotel itabadilishwa jina na kuitwa Dar es Salaam Serena Hotel. TPS Eastern Africa tayari wana wanaendesha hoteli Kenya, Zanzibar, Msumbiji, Rwanda and Uganda na kaskazni mwa Tanzania.
Inaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
Mkuu wa nchi ni mjamzito wa fikraInaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
Royal Palm Hotel iliyokuwa inamilikiwa na Movenpick Hotels and Resorts imeuzwa kwa kampuni ya Kenya, TPS Eastern Africa, ambayo ni mwendeshaji wa hoteli za Serena. The value of transaction has not been disclosed. Wamiliki wakubwa wa TPS Eastern Africa ni Aga Khan Fund for Economic Development.
Kwa hiyo, kuanzia mwenzi ujao, Royal Palm Hotel itabadilishwa jina na kuitwa Dar es Salaam Serena Hotel. TPS Eastern Africa tayari wana wanaendesha hoteli Kenya, Zanzibar, Msumbiji, Rwanda and Uganda na kaskazni mwa Tanzania.
Inaonekana kama ni another 5 years tax exemption. Hata Wakenya huwa tunawapa tax exemption?
Mkuu mi ni mtaalamu wa Kodi.Kubadilisha jina hakuna uhusiano wowote wa kukwepa kodi.Tax holiday ilishakufa tangu 2000.Kodi inatozwa kwa operations na mtaji wa kampuni na sio jina la kampuni.Hapo kinachobadilika ni uongozi wa hotel ambao wanakuja na jina lao.Mfano makampuni ya simu yanabadilisha majina na log zao ila kodi ni ile ile.Kama imeuzwa hapo kitakua na capital gaini yax