Serena {bikini}

Serena {bikini}

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
1207979788.jpg

1207980201.jpg

1207985646.jpg

1207978765.jpg
 
Ni kwasababu ni celebrity tu otherwise watu wasingepoteza betri za kamera zao kumpiga picha, yuko ka dume!
BM ngoja niingie bafuni kidooogo, ntarejea punde, i promise i wont be long, baadae....
 
Naona kama ana chachandu kiunoni. Kwa ushamba wangu nilifikiri waswahili pekee ndio wanajua mambo ya utungo!
 
Naona kama ana chachandu kiunoni. Kwa ushamba wangu nilifikiri waswahili pekee ndio wanajua mambo ya utungo!
Chachandu ya mswahili shanga, ukikukuruka sana inakatika na vigololi vinasambaa hadi nje ya uwanja lakini hapa Serena atakuwa kapiga madini flani.
 
Chachandu ya mswahili shanga, ukikukuruka sana inakatika na vigololi vinasambaa hadi nje ya uwanja lakini hapa Serena atakuwa kapiga madini flani.

Hata kama ni madini, nampa tano! mweusi mwenzetu, anadumisha mila!
 
Duh!!
Misuli utadhani kuku wa kienyeji.....
 
dmussa eeh,
Si unajua Kuku wa kienyeji nd'o mwenye mswano!!!!
Raha ya njugu ni kula moja moja mwanangu!!!

.... naona dmussa kazoea watoto mabongofleva, walio lonyolonyo na wakuepuliwa kutoka pale Aghakhan hospital utafikiri mayai yasiyo jogoo!!
 
Duuuu E Bwana Eee Huyo Inawezekana Ni Men Sio Demu Umemuona Hivyo Vijimbi
 
Naona kama ana chachandu kiunoni. Kwa ushamba wangu nilifikiri waswahili pekee ndio wanajua mambo ya utungo!

jamani nisaidieni hivi chachandu kwa lugha ya joji kichaka tunaiitaje
 
jamani nimegoogle nikaambiwa ni waist lace yaani mipambo ya kiunoni sasa hii sio kutohoa au ndio vivo,si unajua sisi wengine tushazoea kiethiopia tena
 
Ni kwasababu ni celebrity tu otherwise watu wasingepoteza betri za kamera zao kumpiga picha, yuko ka dume!
BM ngoja niingie bafuni kidooogo, ntarejea punde, i promise i wont be long, baadae....

Sasa unaenda bafuni kufanya nini? Haaahaaa. Acha hizo, unajua kabisa kitunguu kimeenda shule.
 
BM ngoja niingie bafuni kidooogo, ntarejea punde, i promise i wont be long, baadae....
sasa mkuu uliiprint hii picha ukaenda nayo bafuni au ndiyo mambo ya kumaditate? kwani unaweza vle kufika nafuni tu stim zmeisha.jamani mimi mbona kla cku naambiwa kuwa cna permission ya kuangalia mambo ya kikubwa?
 
Back
Top Bottom