Serena Hotel yatangaza vinywaji nusu Bei kesho Taifa stars ikishinda

Kwa Mangi Shayo sijui atashusha au atakaza km kawa

MTC | 101| [emoji769]
 
Konyagi ile kubwa 90000 nusu yake 45000
Wakati kwa mangi ni elfu9
 
Ba.shite ashamwaga pesa za walipa kodi wavuja jasho, Uzalendo haujengwi Kwa kupunguza bei za vinywaji Na mambo kama hayo ya OFA bali matendo Na uwajibikaji wa Viongozi waliopewa mamlaka

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kila kitu kwenu ni siasa hamuwezi angalia kibiashara hata siku moja?..
 
Kila kitu kwenu ni siasa hamuwezi angalia kibiashara hata siku moja?..
Hamna biashara hapo mkuu, huo ni ulaghai wa muda mfupi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hamna biashara hapo mkuu, huo ni ulaghai wa muda mfupi

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hawajasema bei zitapungua wiki nzima ni kwa masaa 6 tu!... Kuwa kiongozi ni pamoja na haya mradi hajalazimisha!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…