Serena Williams apata mchumba

Tuwe positive Serena amefuata hela siyo hayo mambo mengine
 
Usisome post za Pdidy kisa umjulishe mkeo nimepita Jf
 
Atakuwa above 35,kwa mwana,ke tayari ni bibi bomba
Mi nahisi atakua ana 40 maana mi nagonga 30 kesho ila wakati nakua alikuwa mkubwa. Nilianza kumuona kwenye Tv wakati nina miaka kumi akiwa anacheza. Lakini all in all hongera kwake. Mwanamke yoyote akipata mme ni jambo la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…