Serena Williams jana

Williams hajatulia!

Sema ni demu mremo sana kwa Afrikan standards...hivi ameshaolewa tayari? Au anangojea nini?
 
Williams hajatulia!

Sema ni demu mremo sana kwa Afrikan standards...hivi ameshaolewa tayari? Au anangojea nini?

Yes ni mrembo sana huyo dada wa tennis. Hajaolewa,jamaa yake ndo yupo nae kwenye picha ya kwanza kabisa juu. Mwanamuziki anaitwa Common.
 
.........saaafi.....lakni tatizo Mewata......

Hahahaaaaa mzee wa Wezere...MEWATA dizaini hiyo ndo mwake babaake...kuna watu ndo ugonjwa wetu...Wezere+Mewata dizaini hiyo
 
Hahahaaaaa mzee wa Wezere...MEWATA dizaini hiyo ndo mwake babaake...kuna watu ndo ugonjwa wetu...Wezere+Mewata dizaini hiyo
wezere kiwango but mkuu mewata haitakiwi izidi saana...

kitu kama hiki hajakomaa sana mewata kiwango wezere stoooop
 
Taratiiibu naona post 'zinaboreshwa' kwa mapichaz! Ilianza ya Serena, imefuata nyingine ya kufagilia mewata na wezere, itakayokuja hapa nadhani ni link ya kule mzee wa kutamu.
 
Taratiiibu naona post 'zinaboreshwa' kwa mapichaz! Ilianza ya Serena, imefuata nyingine ya kufagilia mewata na wezere, itakayokuja hapa nadhani ni link ya kule mzee wa kutamu.
Kazi na dawa mazee
 
nilishangaa unajua nikasema duh nilikua niko site gani kumbe ni hapa hapa imefutwa hahaha
 
Goal of 2009-Marriage
Vipi keshapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…