Hahaha na huo mtelezo wako wa kwenye Avatar lazima waingie mapacha.loh hadi serena mimba imeingia na misuli yote ile mimi na mtelezo wangu bado .ngoja nitafute bwana sasa
hahahahah ila wewe, basi tu hahahahhahahahahahloh hadi serena mimba imeingia na misuli yote ile mimi na mtelezo wangu bado .ngoja nitafute bwana sasa
Hahaha na huo mtelezo wako wa kwenye Avatar lazima waingie mapacha.
ahaaaa dada ana misuli huyu ila nampenda sana ni fighter wa maisha sanahahahahah ila wewe, basi tu hahahahhahahahahah
Bora azae, maana ameliwa na washkaji kibao. Washkaji kama 13 masupastaa
Mchezaji wa tenisi nambari mbili kwa sasa duniani, Serena Williams amejitokeza katika mitandao ya kijamii na kuandika kuwa ni mjamzito.
Mwanadada huyo mwenye mika 35 aliweka picha yake kwenye snapchat akiwa amejipiga picha kwenye kioo na kuandika 20 weeks yaani majuma 20 kisha akaifuta hiyo post.
Iwapo itathibitika kwa hakika kuwa ni mjamzito, Serena anaweza kuzikosa Grans Slams tatu yaani French Open, Wimbledon na US Open.
Chanzo: BBC Swahili
Dloh hadi serena mimba imeingia na misuli yote ile mimi na mtelezo wangu bado .ngoja nitafute bwana sasa