Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Mghghghghg!!!
Sasa JF mtaifanya kuwa De-marketing Media na kisha wazalishaji wa bidhaa watafile cases ambazo zitachafua jina na kuharibu kabisa UPIGANAJI HALISI wa WanaJF.
Ya Vodacom, binafsi naunga mkono maana lengo ni kuupunguza utukufu utokanao na nguvu ya pesa tunayokamuliwa na Mafisadi. Kwa hii ya Beer nashauri TUVUTE BREAK KWANZA KIDOGO. Tunaanza kukosa vipaumbele kwa kutohitimisha mijadala.
JF ni mtambo wa kurekebisha tabia za watu mbali mbali wakiwemo viongozi, watu maarufu, mashirika n.k.
Katika fursa hii pia ningependa kuelezea yaliyonisibu jana wakati nikiwa na marafiki zangu tukiburudika. Mimi ni mpenzi wa beer aina ya Serengeti. Lakini ni muda mrefu nimekuwa nikikumbana na maswahibu katika bia hii. Bia hii mara kwa mara imekuwa ikichanganywa mafuta ya taa. Tatizo ni kwamba inawezekana bia hii inahifadhiwa katika chupa ambazo hazijasafishwa ipasavyo. Ikiwa hili litaendelea kuna haja tufanye kampeni ya kuisusa bia hii kwani ni chafu, yaani SERENGETI BEER NI CHAFU!!!
Hakuna tofauti yoyote kati ya kuishambulia Voda na uchafu wa Bia Serengeti.. Iwapo bia hiyo inauzwa chini ya viwango vya usafi ni vema wanywaji kukosoa na inaposhindikana kususa vilevile.. Usitake kunikumbusha wahenga na msemo wao waMghghghghg!!!
Sasa JF mtaifanya kuwa De-marketing Media na kisha wazalishaji wa bidhaa watafile cases ambazo zitachafua jina na kuharibu kabisa UPIGANAJI HALISI wa WanaJF.
Ya Vodacom, binafsi naunga mkono maana lengo ni kuupunguza utukufu utokanao na nguvu ya pesa tunayokamuliwa na Mafisadi. Kwa hii ya Beer nashauri TUVUTE BREAK KWANZA KIDOGO. Tunaanza kukosa vipaumbele kwa kutohitimisha mijadala.
Hii ni njama ya makaburu wa TBL kuimaliza Serengeti ambayo ni ya Watanzania na wahindi mafisadi. Mimi nakunywa serengeti na sijaona tatizo lolote, kama lipo nadhani ni njama hizo!
Makaburu waliua kiwanda cha bia ya KIBO Moshi sasa wanataka waue tena kiwanda na bia ya Serengeti.
Hawafai wale! Inabidi washitakiwa kwa Commission inayoshughulikia competition. Wanona soko lao limepungua na wamezoea monopoly wale! Serengeti imewapa hard time mpaka wakabadili chupa, na wakatengeneza bia ya ndovu lakini bado inawapiga bao, ndo maana wanaanza mchezo mchafu wa kuichafua bia yao. Hizo bia inawezekana zinajazwa mitaani!
Gud Bubu msema ovyo mesage delivered ,its true serengeti beer ni chafu last week nikiwa mjini moshi na rafiki yangu wa siku nyingi na mwana Jf ame experience the same same problem bia imechanganywa na mafuta taa,hatuwezi kupambana na mafisadi kama tuta neglet social issues,afya ni muhimu na ni moja ya silahaa ya kupambana na mafisadi
mimi Nina Muda Mrefu Nakunywa Serengeti Na Sijaona Tatizo. Ubora Wake Unakidhi Matakwa Ya Mlaji. Tatizo La Kutoa Povu Wakati Inapofunguliwa Haina Maana Kwamba Hiyo Beer Ni Mbovu. Mimi Ni Chemical Engineer Na Ninajua Sababu Ya Hilo Puvu. Sababu Yenyewe Haina Uhusiano Na Ubora Wa Kimiminika Kilichomo Ndani Ya Hiyo Chupa, Bali Ni Makosa Ya Kiufundi Yaliyosababishwa Na Engineer (mhandisi) Aliye-design Ile Chupa Ndefu Ya Serengeti. Kwa Kifupi Ni Kwamba, Zile Chupa Mpya Za Serengeti Zina Shingo Ndefu Na Nyembamba Sana Ukilinganisha Na Zile Za Tbl, Kiasi Cha Kusababisha 'pressure Kubwa' Itokanayo Na Gesi Ya Carbon Dioxide Ambayo Huchanganywa Na Beer Kama Preservative Component Wakati Wa Kutengeneza Kiwandani. Hiyo Pressure Hutoka Kwa Force Kubwa Pale Chupa Inapofunguliwa Na Kuifanya Beer 'ifoke' Na Povu Juu. Hili Ndilo Tatizo Kubwa La Hii Chupa Na Si Kinywaji Kilichomo Ndani Yake Kama Wana Jf Wengine Wanavyodai.
Mimi nina muda mrefu nakunywa serengeti na sijaona tatizo. Ubora wake unakidhi matakwa ya mlaji. Tatizo la kutoa povu wakati inapofunguliwa haina maana kwamba hiyo beer ni mbovu. Mimi ni chemical engineer na ninajua sababu ya hilo puvu. Sababu yenyewe haina uhusiano na ubora wa kimiminika kilichomo ndani ya hiyo chupa, bali ni makosa ya kiufundi yaliyosababishwa na engineer (mhandisi) aliye-design ile chupa ndefu ya serengeti. Kwa kifupi ni kwamba, zile chupa mpya za serengeti zina shingo ndefu na nyembamba sana ukilinganisha na zile za TBL, kiasi cha kusababisha 'pressure kubwa' itokanayo na gesi ya carbon dioxide ambayo huchanganywa na beer kama preservative component wakati wa kutengeneza kiwandani. Hiyo pressure hutoka kwa force kubwa pale chupa inapofunguliwa na kuifanya beer 'ifoke' na povu juu. Hili ndilo tatizo kubwa la hii chupa na si kinywaji kilichomo ndani yake kama wana JF wengine wanavyodai.
Haya mambo jamani ni kuyaangalia kwa undani wake sio kijuu juu namna hii...I happen kuwafanyia kazi moja hawa jamaa and walitoa malalamiko ya kupandikizwa kwa watu ili waihujumu kampuni kwa kuweka condoms kwenye chupa za hawa jamaa na hii inafanyika kwenye finishing section ambapo chupa zinaoshwa na bia kuwekwa kwenye chupa and kuna watu walishakosa kazi kwa hili, na ukizingatia Serengeti wanafungua plant nyingine moshi wapinzani wake lazima wafanye njia za kuwapunguza speed maana wenzao waliona kununua na kukifunga kiwanda cha kibo ni dili....moshi mpaka leo watu analaani sana kitendo kile.........hivi issue za fair competetion nchi hii zinafanya kazi kweli? how come mtu ananunua kiwanda halafu anakifunga jamani....mafisadi sio wanasiasa tu hata hawa wawekezaji