Serengeti Beer Chafu

Jamani inabidi kuwa makini kwani mbinu za biashara ni chafu sana inawezekana hawa hawajatengeneza wenyewe hii bia inayocirculate ikiwa na mafuta ya taa, kumbukeni ya Pepsi yalivyotokea kidogo wafilisike kwa mbinu chafu za biashara. tunahitaji uchunguzi wa kina kabla ya kususia bia ya serengeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…