Serengeti Boys ilivyoirarua Afrika Kusini 3-1 (video)

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
2,659
Reaction score
2,827
Leo hii katika diba la chamazi,timu ya taifa ya vijana ya Serengeti Boys iliweza kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya timu ya taifa ya Afrika Kusini,kwa matokeo hayo timu ya taifa ya Serengeti boys inangoja mshindi kati ya Namibia na Congo Brazavile hii hapa ni ni video fupi ya jinsi mchezo ulivyokuwa
 
Kauli mbiu ya "Hapa kazi tu!" inafanya kazi kila sekta.

Pongezi kwa Serengeti Boys.
 
Hawa madogo tukiwapa sapoti ya kutosha kuanzia kwa sisi raia hadi serikali hakika watafika mbali nasi tutakuwa na cha kujivunia
 
Hii ndio Tanzania mpya aliyoahidi Magufuli safi sana.

Hapa kazi tu
 
Tatizo serikali ya sasa haisapoti michezo. Kwenye bajeti ya wizara ya habari na michezo awajatenga bajeti ya maana ya kuendeleza michezo nchini.
 
Tatizo serikali ya sasa haisapoti michezo. Kwenye bajeti ya wizara ya habari na michezo awajatenga bajeti ya maana ya kuendeleza michezo nchini.

Kazi kuu ya wizara husika ni kufungia na kupiga faini vyombo vya habari na baadhi ya kazi fulani za sanaa
 
South wanamtafuta Nurdin Bakari wa sasa
 
Tatizo serikali ya sasa haisapoti michezo. Kwenye bajeti ya wizara ya habari na michezo awajatenga bajeti ya maana ya kuendeleza michezo nchini.
mie nilichoka eti bajeti ya wizara ya michezo ni bilioni 1 pesa ambayo simba na yanga wanazitumia kuzajili,wao ndio ya kuenddeleza michezo,yani ni aibu kabisa kuwa na utaratibu ambao hauna tija kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…